Simba na Yanga zinapaswa kujifunza zaidi fitna za mechi za kimataifa, tulichokiona Sudan ni trailer tu, picha lenyewe linakuja

Wale wanaoenda kupokea hizi timu uwanja wa ndege , na imani pia wamekusikia waache huo uboya.
 
Toka Lin Simba akafunzwa elimu ya fitna ya champions league utopolo Kuna sehem mpo na shida sana
 
Ukiangalia ile mechi ya Al Akhl..ni SIMBA na bench la ufundi walio over react bila msingi...

Mechi kama zile unapigwa red bila sababu za maana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…