carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Mkhundu wako wewe😅Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.😁
TIMU ZA YANGA NA SIMBA NI MALI YA GENGE LA RAIA FEKITimu za Simba SC na Yanga SC zinatarajiwa kutumia Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, kwa ajili ya kucheza mechi zao za nyumbani za hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, wakati Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam ukisubiri kupata kibali cha Shirikisho la Soka Afrika (CAF).
Kwa sasa, New Amaan Complex ndiyo uwanja pekee nchini Tanzania ulioidhinishwa na CAF kuandaa mechi za mashindano ya kimataifa, hali inayoufanya kuwa chaguo la kwanza kwa klabu zote nne za Tanzania zinazoshiriki mashindano ya CAF msimu huu.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Clifford Ndimbo, amethibitisha kuwa Azam FC na Singida Black Stars, ambazo zinashiriki Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup), pia zinatarajiwa kutumia uwanja huo.
Ndimbo amesema juhudi zinaendelea kuhakikisha Uwanja wa Uhuru unapata kibali cha CAF kufuatia maboresho yanayoendelea kufanyika. Ameeleza kuwa Simba SC, ambayo imeonesha nia ya kucheza mechi zake za nyumbani za kimataifa katika uwanja huo, inaweza kuutumia endapo utakidhi vigezo vya ukaguzi wa CAF.
Hali hiyo ya kutegemea uwanja mmoja ulioidhinishwa kwa mashindano ya kimataifa inatarajiwa kuibua changamoto za usafiri na maandalizi kwa klabu pamoja na mashabiki, huku ikiipa fursa jamii ya mashabiki wa soka Zanzibar kushuhudia moja kwa moja mechi za timu kubwa za Tanzania katika mashindano ya kimataifa.
Chanzo ; The citizen
Huu upuuzi tumezoea kuona FB sio huku kiongozi.Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.😁
Kabisa wangefanya hivyo hivyo hata Kenya tuSimba wangechagua uwanja Kenya au Rwanda tuone kama vile viwanja visingetengenezwa.
Mrs Chivayo mitano tena.Timu za Simba SC na Yanga SC zinatarajiwa kutumia Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, kwa ajili ya kucheza mechi zao za nyumbani za hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, wakati Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam ukisubiri kupata kibali cha Shirikisho la Soka Afrika (CAF).
Kwa sasa, New Amaan Complex ndiyo uwanja pekee nchini Tanzania ulioidhinishwa na CAF kuandaa mechi za mashindano ya kimataifa, hali inayoufanya kuwa chaguo la kwanza kwa klabu zote nne za Tanzania zinazoshiriki mashindano ya CAF msimu huu.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Clifford Ndimbo, amethibitisha kuwa Azam FC na Singida Black Stars, ambazo zinashiriki Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup), pia zinatarajiwa kutumia uwanja huo.
Ndimbo amesema juhudi zinaendelea kuhakikisha Uwanja wa Uhuru unapata kibali cha CAF kufuatia maboresho yanayoendelea kufanyika. Ameeleza kuwa Simba SC, ambayo imeonesha nia ya kucheza mechi zake za nyumbani za kimataifa katika uwanja huo, inaweza kuutumia endapo utakidhi vigezo vya ukaguzi wa CAF.
Hali hiyo ya kutegemea uwanja mmoja ulioidhinishwa kwa mashindano ya kimataifa inatarajiwa kuibua changamoto za usafiri na maandalizi kwa klabu pamoja na mashabiki, huku ikiipa fursa jamii ya mashabiki wa soka Zanzibar kushuhudia moja kwa moja mechi za timu kubwa za Tanzania katika mashindano ya kimataifa.
Chanzo ; The citizen
Thubutu, hiyo ni mipango maalum ya kimkakati, Zanzibar oyee...... .Simba wangechagua uwanja Kenya au Rwanda tuone kama vile viwanja visingetengenezwa.
Wazo zuri.Simba wangechagua uwanja Kenya au Rwanda tuone kama vile viwanja visingetengenezwa.
Hakuna mwana Simba anayependa hilo li uwanja.Huo uwanja siupendi sijui hata ni kwanini