Simba na Yanga zinatarajiwa kutumia uwanja wa New Amaan complex kwa mashindano ya Klabu bingwa barani Afrika

Simba na Yanga zinatarajiwa kutumia uwanja wa New Amaan complex kwa mashindano ya Klabu bingwa barani Afrika

Huu sasa upuuuzi, Uwanja wa uhuru na Taifa una shida gani??

Nchi ya hovyo hii. Lol
Lupaso kuna ukarabati usioisha unaendelea, uhuru una nyasi bandia ambazo caf hawazitaki
 
Back
Top Bottom