ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Urafiki wa Azam na Simba ni mkubwa kuzidi watu wanavyodhani.
Azam yupo tayari ajidhuru ili Simba anufaike. Azam atajipigisha mechi 1 hususan huko Geita na huku mashoga wao Simba wakishinda na kutwaa kombe la nafasi ya pili na kufanya parade kubwa huko jiji la Bunju.
Azam hawezi kumzibia Simba kushika nafasi ya pili. Simba asipochukua kombe la mshindi wa pili, wanasimba wote nitawapatia hela ya bia mbili kila mmoja