Sijaelewa kwa hio mtu atachagua CCM sababu Simba inacheza CAF champions League au wanasimba wengi ni CCM?Lazima simba itabebwa. Ili iende kimataifa. Si unajua mwaka huu na mwakani ni mwaka wa uchaguzi. Timu za simba na yanga huwa zinatumika mno kisiasa kwa sababu zina mamilioni ya mashabiki.
Tumia Akili!
Jiongeze!
Uko mbaliLazima simba itabebwa. Ili iende kimataifa. Si unajua mwaka huu na mwakani ni mwaka wa uchaguzi. Timu za simba na yanga huwa zinatumika mno kisiasa kwa sababu zina mamilioni ya mashabiki.
Tumia Akili!
Jiongeze!
Saana nduguUmenuna?
Sawa mkuuKunywa maji mengi