Washachelewa na waache unafiki,wakati Yanga wanawaomba na mpaka ikafika kipindi wakakubaliana kabisa lakini ghafla tena hatua ya mwisho Simba akageuka tena kwa maneno ya kashfa kabisa leo hii wamesahau yote hayo,kweli njaa na ukata mbaya sana.
Washachelewa na waache unafiki,wakati Yanga wanawaomba na mpaka ikafika kipindi wakakubaliana kabisa lakini ghafla tena hatua ya mwisho Simba akageuka tena kwa maneno ya kashfa kabisa leo hii wamesahau yote hayo,kweli njaa na ukata mbaya sana.
Mimi naona huyo pop wakampime akili yeye ndiye mmoja ya viongozi waliokuwepo na Rage kipindi cha yanga wanazikataa hizo pesa wakawabeza yanga sana wakisema hizo pesa ni nyingi sana na yanga wabaguzi kwa vilabu vingine wakashindwa kufahamu yanga na simba logo yao ni kubwa na ndiyo Azamu wanataka watangaze bihashara zao kupitia hivi vilabu 2 sasa wakasema manji anaringia pesa za Babu yake ndiyo mahana hataki hizo ndogo!! Sasa nashindwa kuelewa simba wanataka kukaa na Yong Africa hii bingwa wa ligi kuu au yanga ya Manzese ? Njaaa mbaya hadi unajisahau alivyo kata juzi 2 wamchanganiii!!!!! Poleni sana
Pamoja na kuibeza Yanga kuhusu malipo ya Azam Tv, Simba nao wamestuka kupitia kwa mwenyekiti wao wa kamati ya usajili.
Habari kamili fuata link:
HANS POPPE ASEMA WAKO TAYARI KUKAA MEZA MOJA NA YANGA KUIJADILI AZAM TV - SALEH JEMBE
Baada ya kujikuta wamefilisika, hawana pesa hata za kulipa Makocha.. Sasa waamua kusaka msaada kutoka Yanga Fc....!
Sasa hivi ndiyo wanaliona japo wanamtupia lawama Aden Rage.
Haingiii akilini timu inayochukua ubingwa na wale wanaoshuka daraja wapate mgao sawa. Tena hayo malipo yangetoka mwisho wa msimu ili timu ipate hela ya usajili na maandalizi ya msimu unaofuata. Itafutwe formula ili bingwa apate zaidi kuongeza ushindani kwenye ligi. Wale wa kushuka daraja wajue kabisa hela yao ndogo kabisa.
Hii biashara ya kukomoa wakati mwingine mtu anajikomoa mwenyewe
simba wanafiki wa kutupwa ni aibu kwa timu kama simba wawe wanafiki juzi popo alikuwa anaimba wimbo wa msuva anaenda simba kakwama sasa anasema dida anamsajili jamani simba pungizeni unafiki mnatia aibu
Kila siku najiuiza, Hans Pope ni Rais wa Simba au Mwenyekiti wa kamati ya usajili?
Inaelekea alisemalo ndiyo linakuwa pale Simba.
Huyu ni Supreme Leader a.k.a Grand Ayaaatolah wa Simba,kila uongozi wa Mambumbumbu yeye yupo na wala hachaguliwi directly na Wanachama lakini nguvu yake ni kubwa kuliko Mwenyekiti.