Simba nao waistukia Azam TV

Simba nao waistukia Azam TV

Simba ni watu wa ajabu sana kwani katika kipindi ambacho yanga waliwaomba vilabu vyao [ambavyo ndiyo vikubwa nchini] wawe na msimamo wa pamoja kuhusu malipo ya kurusha mechi zao sio tu waliwabeza yanga bali wao walikuwa kama maajenti wa TFF kwa kudai kuwa ule ni mkataba kati ya TFF na Azam na hivyo siyo busara kwa yanga kugomea pesa za mkataba huo kwani wao ni third party. Jee leo vipi??????
 
Washachelewa na waache unafiki,wakati Yanga wanawaomba na mpaka ikafika kipindi wakakubaliana kabisa lakini ghafla tena hatua ya mwisho Simba akageuka tena kwa maneno ya kashfa kabisa leo hii wamesahau yote hayo,kweli njaa na ukata mbaya sana.
 
Hii biashara ya kukomoa wakati mwingine mtu anajikomoa mwenyewe
 
Mimi naona huyo pop wakampime akili yeye ndiye mmoja ya viongozi waliokuwepo na Rage kipindi cha yanga wanazikataa hizo pesa wakawabeza yanga sana wakisema hizo pesa ni nyingi sana na yanga wabaguzi kwa vilabu vingine wakashindwa kufahamu yanga na simba logo yao ni kubwa na ndiyo Azamu wanataka watangaze bihashara zao kupitia hivi vilabu 2 sasa wakasema manji anaringia pesa za Babu yake ndiyo mahana hataki hizo ndogo!! Sasa nashindwa kuelewa simba wanataka kukaa na Yong Africa hii bingwa wa ligi kuu au yanga ya Manzese ? Njaaa mbaya hadi unajisahau alivyo kata juzi 2 wamchanganiii!!!!! Poleni sana
 
Hivi yanga walishawah kuchukua hela zao za malipo kwa Azam TV?
 
Washachelewa na waache unafiki,wakati Yanga wanawaomba na mpaka ikafika kipindi wakakubaliana kabisa lakini ghafla tena hatua ya mwisho Simba akageuka tena kwa maneno ya kashfa kabisa leo hii wamesahau yote hayo,kweli njaa na ukata mbaya sana.

Sasa hivi ndiyo wanaliona japo wanamtupia lawama Aden Rage.

Haingiii akilini timu inayochukua ubingwa na wale wanaoshuka daraja wapate mgao sawa. Tena hayo malipo yangetoka mwisho wa msimu ili timu ipate hela ya usajili na maandalizi ya msimu unaofuata. Itafutwe formula ili bingwa apate zaidi kuongeza ushindani kwenye ligi. Wale wa kushuka daraja wajue kabisa hela yao ndogo kabisa.
 
Mimi naona huyo pop wakampime akili yeye ndiye mmoja ya viongozi waliokuwepo na Rage kipindi cha yanga wanazikataa hizo pesa wakawabeza yanga sana wakisema hizo pesa ni nyingi sana na yanga wabaguzi kwa vilabu vingine wakashindwa kufahamu yanga na simba logo yao ni kubwa na ndiyo Azamu wanataka watangaze bihashara zao kupitia hivi vilabu 2 sasa wakasema manji anaringia pesa za Babu yake ndiyo mahana hataki hizo ndogo!! Sasa nashindwa kuelewa simba wanataka kukaa na Yong Africa hii bingwa wa ligi kuu au yanga ya Manzese ? Njaaa mbaya hadi unajisahau alivyo kata juzi 2 wamchanganiii!!!!! Poleni sana

Acha waendelee na njaa yao maana hawaoni mbali. Haiwezekani mshindi wa kwanza na wa mwisho walipwe sawa. Kila timu ipigane kupata nafasi za juu ili ipate fedha zaidi na kuongeza ushindani kwenye ligi.
 
Baada ya kujikuta wamefilisika, hawana pesa hata za kulipa Makocha.. Sasa waamua kusaka msaada kutoka Yanga Fc....!

Pamoja na utani/uadui/unazi uliopo kati ya Yanga na Simba, bado kuna nafasi ya timu hizi mbili kushirikiana kwenye mambo kadha ili kupata maslahi zaidi. Yanga waliliona hili kuhusu Azam Tv lakini wanamsimbazi wakaliangalia kwenye angle ile ile ya fitna na kukomoana.

Sasa njaa imewaletea akili ya kung'amua kilichokuwa dhahiri toka awali.
 
Sasa hivi ndiyo wanaliona japo wanamtupia lawama Aden Rage.

Haingiii akilini timu inayochukua ubingwa na wale wanaoshuka daraja wapate mgao sawa. Tena hayo malipo yangetoka mwisho wa msimu ili timu ipate hela ya usajili na maandalizi ya msimu unaofuata. Itafutwe formula ili bingwa apate zaidi kuongeza ushindani kwenye ligi. Wale wa kushuka daraja wajue kabisa hela yao ndogo kabisa.

Huyo Hans Pop aache unafiki sababu wakati wa Rage hata yeye alikuwepo kwenye uongozi wa Simba chini ya Rage,asidhani watu wote ni mambumbumbu kama hao anaowaongoza,awe na kumbukumbu yakutosha.
 
Hii haiji akilini hata mara moja, yaani bingwa yanga ale milioni 100 na polisi morogoro nae ale milioni 100!!!

Sijajua huu utaratibu azam tv wameiga kutoka ligi gani, yaani mshindi wa kwanza na yule anaeshuka daraja wapate mgao sawa!!

Mimi nadhani simba waliliona hili lakini walitaka mkomoeni kwa wenzao yanga. Ila wahenga wanasema mwisho wa ubaya aibu.
 
simba wanafiki wa kutupwa ni aibu kwa timu kama simba wawe wanafiki juzi popo alikuwa anaimba wimbo wa msuva anaenda simba kakwama sasa anasema dida anamsajili jamani simba pungizeni unafiki mnatia aibu
 
Kila siku najiuiza, Hans Pope ni Rais wa Simba au Mwenyekiti wa kamati ya usajili?

Inaelekea alisemalo ndiyo linakuwa pale Simba.
 
Mikia fc mmefulia mmeshaingia mkataba subirini kunyolewa sasa, si mlikuwa mnawazodoa yanga kulikoni tena
 
Kila siku najiuiza, Hans Pope ni Rais wa Simba au Mwenyekiti wa kamati ya usajili?

Inaelekea alisemalo ndiyo linakuwa pale Simba.

Huyu ni Supreme Leader a.k.a Grand Ayaaatolah wa Simba,kila uongozi wa Mambumbumbu yeye yupo na wala hachaguliwi directly na Wanachama lakini nguvu yake ni kubwa kuliko Mwenyekiti.
 
Kweli Mkuu, huyu atakuwa Grand Aya.tollah Hans Pope Khomeini. Neno lake ni sheria pale Simba kuanzia kusajili wachezaji, makocha na nani acheze siku ya mechi.
 
Back
Top Bottom