Wewe ndiyo mjinga sabab huna logic yoyote ya kum challenge alichokiandika isipokuwa unatema tu utumbo hapa!Hutakiwi kuonyesha ujinga wako kwenye mambo madogo madogo kama haya Ndugu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna timu iliyoshirikishwa, Tff wenyewe walisema hakuna mtu kuhoji mkataba huo unawahusu wao na GsmMkuu nisaidie kisheria na wala sio kiushabiki,wakiyaondoa hayo mabango ni hatua zipi zinazoweza kuchukuliwa kwa timu husika-kama endapo timu zilishirikishwa kwenye mchakato wa udhamini huu wa GSM?,Nimetumia neno "kama".
Una ushahidi unaoonyesha kama mikataba mingine waliyosain TFF kuna timu zilishirikishwa! Je umeisoma katiba ya TFF na kuielewa kama kana kipengele kinachosema "TFF wakisain mikataba na wadhamini lazima washirikishe vilabu!Hakuna timu iliyoshirikishwa, Tff wenyewe walisema hakuna mtu kuhoji mkataba huo unawahusu wao na Gsm
Kwanini kwenye hii game wafosi
Unadhani kuna club ina cheza ligi bila kujua Mdhamini kapatikanaje na club itapata vipi manufaa!!!..Ujinga ni Mzigo wakati mwengineUna ushahidi unaoonyesha kama mikataba mingine waliyosain TFF kuna timu zilishirikishwa! Je umeisoma katiba ya TFF na kuielewa kama kana kipengele kinachosema "TFF wakisain mikataba na wadhamini lazima washirikishe vilabu!
Tunazungumzia mkataba wa Gsm na Tff we guruguja, hiyo mingine hakuana aliyelalamika itakua walishirikishwa,.Una ushahidi unaoonyesha kama mikataba mingine waliyosain TFF kuna timu zilishirikishwa! Je umeisoma katiba ya TFF na kuielewa kama kana kipengele kinachosema "TFF wakisain mikataba na wadhamini lazima washirikishe vilabu!
Wewe mikataba inayosainiwa na serikali yako kama RAIA mwema umewah kuhoji kuhusu ushirikishwaji wako!Unadhani kuna club ina cheza ligi bila kujua Mdhamini kapatikanaje na club itapata vipi manufaa!!!..Ujinga ni Mzigo wakati mwengine
Wewe mikataba inayosainiwa na serikali yako kama RAIA mwema umewah kuhoji kuhusu ushirikishwaji wako!Unadhani kuna club ina cheza ligi bila kujua Mdhamini kapatikanaje na club itapata vipi manufaa!!!..Ujinga ni Mzigo wakati mwengine
Labda anajua kuandika lakini kusoma hajui hili Kwa Watanzania sio ajabuTunazungumzia mkataba wa Gsm na Tff we guruguja, hiyo mingine hakuana aliyelalamika itakua walishirikishwa,.
Ushahidi wa huu mkataba upo, Tff walisema huu mkataba unawahusu wao na Gsm.. Unataka ushahidi gani?View attachment 2039363
Vilabu vyote lazima vishiriki utaendelea kukataa kwasababu hujui na wakati mwengine usikubali ujinga wako ukaonekana namna hiiWewe mikataba inayosainiwa na serikali yako kama RAIA mwema umewah kuhoji kuhusu ushirikishwaji wako!
Una ushahid gan kuwa vilabu vyote havikushirikishwa kwenye ule mkataba! Au ni "hear says"! [emoji706]Vilabu vyote lazima vishiriki utaendelea kukataa kwasababu hujui na wakati mwengine usikubali ujinga wako ukaonekana namna hii
We pia inatakiwa ufiche ujinga,Wewe ndiyo mjinga sabab huna logic yoyote ya kum challenge alichokiandika isipokuwa unatema tu utumbo hapa!
Kama una ushahidi wowote wa kikatiba weka hapa,, nje ya hapo unakua unaleta mipasho.Una ushahidi unaoonyesha kama mikataba mingine waliyosain TFF kuna timu zilishirikishwa! Je umeisoma katiba ya TFF na kuielewa kama kana kipengele kinachosema "TFF wakisain mikataba na wadhamini lazima washirikishe vilabu!
Achana na huyo kifaduro asiyejitambuaKimataifa Gsm afate nini wewe uto?
Turudi nyuma kidogo, MABANGO YA KCB hayaljwepo uwanjani kwa msimu uliopita??Kwa mtu anayetumia ubongo na akili kwa pamoja atajadili hoja za msingi za Simba. KWAMBA Simba hoja yao ni nini.
Yanga mligomea mechi kwasababu ya kanuni kuvunjwa.
Kwanini kwa Simba hili hamuongei. Kwanini hamuongei kuhusu madai ya simba kuhusu suala la mdhamini mwenza sheria na kanuni zinasemaje. Na manufaa ya mkataba kwa klabu. Yapo mengi.
Linapokuja swala la maslahi na heshima ya Simba basi timu haitaenda uwanjani.
GSM na Yanga janja janja nyingi.
Sheria gani inatamka mkataba wa TFF na Mdhamini wa Ligi ni lazima timu zishirikishwe? Nachojua mimi ni kwamba Timu hujulishwa tu kuwa mdhamini amepatikana na kiasi alichotoa basi.Timu hazikushirikishwa mkuu. Na TFF walishajibu tena kwa Barua kuwa huo mkataba ni wakwao TFF na G*M wengine hauwahusu.
Hakuna adhabu hapo Simba inasubiri maamuzi toka Tume - CMA.
TFF ijiandae kurudisha fedha za G*M au waamue huo ufadhili uende Champions league.