Simba naona wanatafuta gap la ku-escape mechi ya kesho

Simba naona wanatafuta gap la ku-escape mechi ya kesho

Ni sheria gani inawataka TFF kuvishirikisha vilabu katika mikataba yake na Taasisi fulani? Vp Simba au kilabu chochote Cha bongo kilishirikishwa kwenye mkataba wa TFF na benki ya NBC,Azam Media au TBC?unawezaje kuhoji mkataba wa TFF na kampuni ya GSM kwa sheria ipi?Sakata hili limeweka wazi roho mbaya aliyonayo Mo na Co wametawaliwa na ubinafsi na umimi
Haya kawajibu wanzeji huko maana mabango huku yashayolewa na CAF kaingilia kati ili ujue watu wapo mbele kdgo wamesha waacha utopolo
 
Sasa hapo kampuni ya GSM wana makosa gani? Kosa ni la kampuni ya GSM au TFF? Ni vyema mjadala ukajikita hapo vinginevyo ni upotoshaji
Kesho hutaona bango la GSM na hii inadhihilisha kwel hawa GSM kua na makandokando mengi
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu teseka na jua tu, makasiriko kwa wanaume usiowajua hayafai.
Mimi tena na makasiriko sio wewe ulietaka nipigwe ban au kichwani kuna nati zimelegea kidogo mkuu
 
[emoji2] [emoji2] Kimataifa nako yupo GSM? Kuwa shabiki wa Yanga ni kipaji.
Sasa wasipocheza kesho na mechi za kimataifa pia watasusia kwa mkapa kisa mabango ya GSM!

Viongozi wa Simba waache upuuzi, wamesajili vibaya wanajua kesho wataaibika wanawaangushia TFF jumba bovu kwa sababu za kitoto kabisa, kama ni changamoto za kimkataba kwanini msubiri game ya Yanga ndiyo muanze figisu!

TFF msiyumbishwe, wakigomea mchezo kesho fuateni taratibu zote za kimpira wapeni wapinzani wao point 3 na adhabu kali kwa Simba iwe funzo.
 
Mbona simpo tu. Mdhamini mwenza anabaki ktk mabango sio logo ktk jezi. Hata msimu uliopita KCB walikuwa wadhamini wenza hukuona logo ktk jezi ya timu yoyote zaidi ya mabango uwanjani na ktk press za tff. Hiyo ndio kanuni inasema hivyo. Hii ya GSM hao tff wametumia kanuni gani ndio Simba wanachohoji wanataka clarification tu. BASI HAKUNA LINGINE.
Sasa mbona ata mabango ya uwanjani nayo amyataki mna matatizo gani nyie watu? Kama mnataka kuikimbia mechi mseme sio mnaibuka na sababu za ovyo ovyo kila siku
 
Back
Top Bottom