Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Kilaza ni ww,,, toa evidence ya ukilaza wa huyo jamaa..Pole kwa ukilaza.
Kesho kipigo kipo palepale hata msipoleta Timu tutakuja kuwafumua hukohuko kwenye ofic zenu Makolos nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilaza ni ww,,, toa evidence ya ukilaza wa huyo jamaa..Pole kwa ukilaza.
Haya kawajibu wanzeji huko maana mabango huku yashayolewa na CAF kaingilia kati ili ujue watu wapo mbele kdgo wamesha waacha utopoloNi sheria gani inawataka TFF kuvishirikisha vilabu katika mikataba yake na Taasisi fulani? Vp Simba au kilabu chochote Cha bongo kilishirikishwa kwenye mkataba wa TFF na benki ya NBC,Azam Media au TBC?unawezaje kuhoji mkataba wa TFF na kampuni ya GSM kwa sheria ipi?Sakata hili limeweka wazi roho mbaya aliyonayo Mo na Co wametawaliwa na ubinafsi na umimi
Kesho hutaona bango la GSM na hii inadhihilisha kwel hawa GSM kua na makandokando mengiSasa hapo kampuni ya GSM wana makosa gani? Kosa ni la kampuni ya GSM au TFF? Ni vyema mjadala ukajikita hapo vinginevyo ni upotoshaji
Mimi tena na makasiriko sio wewe ulietaka nipigwe ban au kichwani kuna nati zimelegea kidogo mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu teseka na jua tu, makasiriko kwa wanaume usiowajua hayafai.
Sasa wasipocheza kesho na mechi za kimataifa pia watasusia kwa mkapa kisa mabango ya GSM!
Viongozi wa Simba waache upuuzi, wamesajili vibaya wanajua kesho wataaibika wanawaangushia TFF jumba bovu kwa sababu za kitoto kabisa, kama ni changamoto za kimkataba kwanini msubiri game ya Yanga ndiyo muanze figisu!
TFF msiyumbishwe, wakigomea mchezo kesho fuateni taratibu zote za kimpira wapeni wapinzani wao point 3 na adhabu kali kwa Simba iwe funzo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] GSM imemua kujibanza mgongoni mwa Simba kwa nguvu..GSM wameona Yanga haiwapeleki kokote , wameamua Simba iwatangaze kwa dau dogo na la kipekee kupitia TFF [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2039450
Sasa mbona ata mabango ya uwanjani nayo amyataki mna matatizo gani nyie watu? Kama mnataka kuikimbia mechi mseme sio mnaibuka na sababu za ovyo ovyo kila sikuMbona simpo tu. Mdhamini mwenza anabaki ktk mabango sio logo ktk jezi. Hata msimu uliopita KCB walikuwa wadhamini wenza hukuona logo ktk jezi ya timu yoyote zaidi ya mabango uwanjani na ktk press za tff. Hiyo ndio kanuni inasema hivyo. Hii ya GSM hao tff wametumia kanuni gani ndio Simba wanachohoji wanataka clarification tu. BASI HAKUNA LINGINE.