Simba nayo udhamini wa GSM? Mbona vipigo mfululizo

Simba nayo udhamini wa GSM? Mbona vipigo mfululizo

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Hawa mashabiki na viongozi ndo Huwa wanalalama eti Yanga anakuwa bingwa Kwa kuzifunga timu kwenye ligi Kwa sababu zinadhaminiwa na GSM

Sasa wao kila mechi kipigo
Wao watwambie kama GSM ashaanza kuwadhamini

Tengenezeni timu
Acha kulia
Leo mnalia refa
Mara kipa Camara kauza mechi
Zile 5 mlisema manura kapewa bahasha
Mara mangungu out
Mara mvua ilinyesha

Simba tengenezeni timu
Kubali mchakato
Mkileta visababu tutawapigia miaka 10 mfululizo
 
Back
Top Bottom