Simba ndio basi tena?

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Nafasi ya pili hiyoo inayeyuka!

Kwa msimamo wa ligi ulivyo Sasa, ndio kusema Ili Simba iwe nafasi ya pili basi mechi yake ijayo na JKT, ifunge bao 10 bila majibu. Wakati huo huo na Azam ishinde kwa bao Moja tu dhidi ya Geita.

Sijui, ila labda kwa Simba hii ya Mgunda na Ahmed Ally, miujiza hii inawezekana.!
 
Uzuri azam ana mechi away kwa geita, na geita wakipigwa wanashuka daraja, wanaweza kukaza labda
Mkuu mimi siyo shabiki wa mipira ila kuna timu ya nyumbani mashujaa naikubali, vipi mpaka hapa itashuka ligi au itabaki
 
MI NIMETENGENEZA JEZI ZA USHINDI WA TATU KABISA HUKKKKOOO YAPILI ATUKUTAKI HALIYETU N MBAYA WAPENDWAA
 
Hivi kwani Azam ikishinda kombe la CRDB si itabidi ishiriki shirikisho?
Hapana mkuu,Azam akimaliza nafasi ya pili kwenye ligi hata ashinde kombe la CRDB ataenda kwa nafasi ya pili aliyonayo kwenye ligi, Simba na Coastal Union ndo wataenda shirikisho.
 
Japo najua Azam hawawezi kutoa upinzani kwenye Club Bingwa, ila ngoja tusicheze ili tuwe serious.
 
Kwani SI Wanasema wakifungana points wanaangalia Head to head??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…