Nafasi ya pili hiyoo inayeyuka!
Kwa msimamo wa ligi ulivyo Sasa, ndio kusema Ili Simba iwe nafasi ya pili basi mechi yake ijayo na JKT, ifunge bao 10 bila majibu. Wakati huo huo na Azam ishinde kwa bao Moja tu dhidi ya Geita.
Sijui, ila labda kwa Simba hii ya Mgunda na Ahmed Ally, miujiza hii inawezekana.!