Simba ndio basi tena?

Inawezekana msimu uliopita Saido the wonder boy alipiga goli nne mechi moja akamfikia Mayele.Sasa hapo labda Saido atupie goli 8 mara mbili ya msimu ulipita,Jobe mwenye apige tatu halafu Fredengwa Fred atupie mbili watakuwa tayari washashika nafasi ya pili.
 
Usimsahau onana
 
Yaan Simba hali tete Wala tusidanganyane na kupeana moyo. Tusubir tu maajabu ya mpira
 
Azam haitashinda mechi ijayo..
Simba mtashinda.

Tulizeni munkari.
 
haiwezekani tena maana azam tayari washanunua magoli kwa ajili ya fei
 
Ni bora Simba imalize ya 3 na kujipanga upya. Bado haina timu ya kushindana champions league na inahitaji kusajili wachezaji kama 8 wapya na kutengeneza uongozi unaosikilizana na timu yenye ari mpya.

Wapunguze pressure msimu ujao huku wakitafuta zaidi kikombe cha ligi ili kurudisha imani kwa wanachama na mashabiki wake.

Wakubali kushiriki shirikisho ambapo hakuna pressure.

Huo ni ushauri wangu kama shabiki wa Coastal Union.
 
Kweli muda hua ni mwalimu mzuri, simba hii iliyokuwa ikijisifu wao wa kimataifa CAF champions league eti Yanga haina ubavu kwao shirikisho sasa ndo huko shirikisho wameangukia na wataenda kupambania points na Coastal union!

Simba sasa rasmi ndondo cup, simba wa matopeni.
 
Asta

Astakafilullah !!
 
Simba tujipange tu upya, nothing more
 
Simba msimu ujao mpunguze kucheza mpira wa mdomoni. Siku zote mkumbuke mpira unachezwa uwanjani! Na siyo mdomoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…