Caesar14
JF-Expert Member
- Aug 10, 2022
- 556
- 1,044
💪Simba tumalize nafasi ya tatu ili wale matapeli kina Try Again wajiulize kulikoni wajue wao ndio chanzo cha matatizo pale Simba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
💪Simba tumalize nafasi ya tatu ili wale matapeli kina Try Again wajiulize kulikoni wajue wao ndio chanzo cha matatizo pale Simba.
Inawezekana msimu uliopita Saido the wonder boy alipiga goli nne mechi moja akamfikia Mayele.Sasa hapo labda Saido atupie goli 8 mara mbili ya msimu ulipita,Jobe mwenye apige tatu halafu Fredengwa Fred atupie mbili watakuwa tayari washashika nafasi ya pili.Nafasi ya pili hiyoo inayeyuka!
Kwa msimamo wa ligi ulivyo Sasa, ndio kusema Ili Simba iwe nafasi ya pili basi mechi yake ijayo na JKT, ifunge bao 10 bila majibu. Wakati huo huo na Azam ishinde kwa bao Moja tu dhidi ya Geita.
Sijui, ila labda kwa Simba hii ya Mgunda na Ahmed Ally, miujiza hii inawezekana.!
Usimsahau onanaInawezekana msimu uliopita Saido the wonder boy alipiga goli nne mechi moja akamfikia Mayele.Sasa hapo labda Saido atupie goli 8 mara mbili ya msimu ulipita,Jobe mwenye apige tatu halafu Fredengwa Fred atupie mbili watakuwa tayari washashika nafasi ya pili.
Azam haitashinda mechi ijayo..Nafasi ya pili hiyoo inayeyuka!
Kwa msimamo wa ligi ulivyo Sasa, ndio kusema Ili Simba iwe nafasi ya pili basi mechi yake ijayo na JKT, ifunge bao 10 bila majibu. Wakati huo huo na Azam ishinde kwa bao Moja tu dhidi ya Geita.
Sijui, ila labda kwa Simba hii ya Mgunda na Ahmed Ally, miujiza hii inawezekana.!
haiwezekani tena maana azam tayari washanunua magoli kwa ajili ya feiNafasi ya pili hiyoo inayeyuka!
Kwa msimamo wa ligi ulivyo Sasa, ndio kusema Ili Simba iwe nafasi ya pili basi mechi yake ijayo na JKT, ifunge bao 10 bila majibu. Wakati huo huo na Azam ishinde kwa bao Moja tu dhidi ya Geita.
Sijui, ila labda kwa Simba hii ya Mgunda na Ahmed Ally, miujiza hii inawezekana.!
geita washauza mechiUzuri Azam ana mechi away kwa Geita, na Geita wakipigwa wanashuka daraja, wanaweza kukaza labda
Kweli muda hua ni mwalimu mzuri, simba hii iliyokuwa ikijisifu wao wa kimataifa CAF champions league eti Yanga haina ubavu kwao shirikisho sasa ndo huko shirikisho wameangukia na wataenda kupambania points na Coastal union!
Simba sasa rasmi ndondo cup, simba wa matopeni.