Simba ndio timu yenye Mashabiki wengi Tanzania

Simba ndo yenye mashabiki wengi, ukiacha uwanjani fanya research kwenye vibanda umiza, utagundua, hata kwenye mauzo ya jezi tuu, pita mitaani uone ni jezi gani zinavaliwa sana utakuta ni za simba kwa hapa bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mikia FC ni timu yenye washabiki wapiga kelele mjini...si wengi na waliopo ni mbumbumbu.
 
Mkuu, mbona kuna fursa kubwa hapo?
Hao million 8 kwa ada ya Shs 12,000 kwa mwaka ni fedha ya maana. Billion 96! Hata wakitoa robo yake tu ni billion 24. Kuna sehemu tumelala.
1000 tu kwa mwaka ..tungekuwa mbali
 
Natamani tufikie level hizo, angalau hata moja ikiwa Confederation Cup nyingine Champions League na zote ziwe zinakimbiza itakuwa poa sana.

Hata kama mnazomeana inakuwa kwa shangwe hakuna mnyonge.
Kweli mkuu, mwaka huu kama Yanga au Azam ingeshiriki confederation cup naamini zingeweza kufika makundi njia ya Mtibwa haikua ngumu sema ndiyo hivyo Mtibwa ni timu ya hapa hapa by default. Mimi ni shabiki wa Simba ila naomba Yanga iwe ya pili kwenye ligi, KMC au Singida iwe ya tatu na azam ichukue F.A cup. Simba aingie robo fainali ya Champions league tuongezewe timu 2. Yanga na Simba CAF champions league, Azam na Singida/KMC CAF confederation cup. Hapo ligi yetu tutaipa ubora sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urojo FC huo.
 
Kiongozi, una hoja za msingi kasoro moja tu. Ungesema Yanga na Simba (whoever takes the first spot) zichukue nafasi mbili za kwanza TPL. Hayo mengine sina shida nayo. Fikeni hata fainali CAF Champions league.
 
Kiongozi, una hoja za msingi kasoro moja tu. Ungesema Yanga na Simba (whoever takes the first spot) zichukue nafasi mbili za kwanza TPL. Hayo mengine sina shida nayo. Fikeni hata fainali CAF Champions league.
Hahaha... fainali ilikuwa juzi bingwa ameshapatikana mkuu! Mbona wenzako wengi wamesha kubali ukweli mpaka wanashagilia kufungwa kimoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Tui
Dar es salaam sio tz
 
Hata taifa stars ikianza kufanya vizur watu hujaa sana uwanjan ikianza kupoteana hawaonekani.ndo tulivyo mashabiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa Washabiki wa Yanga mpaka wasikie ,wamelipiwa waingie bure uwanjani ndiyo unazungumzia.

Ile mambo ya bure mbaya sana,unakumbuka mpaka walivunja zile gates pale kwa Mchina.
 
Reactions: Tui
Mnaongoza ligi bado inabidi mchangiwe!!!
Hao wapenzi wenu wengi wako wapi?
Arusha leo mazoezi tu ya Simba uwanja umejaa!!!!
Chura walipocheza Arusha African Lyon walilalamika watazamaji elfu 4.
 
Hawa Washabiki wa Yanga mpaka wasikie ,wamelipiwa waingie bure uwanjani ndiyo unazungumzia.

Ile mambo ya bure mbaya sana,unakumbuka mpaka walivunja zile gates pale kwa Mchina.
Lakini sio viti.
 
Hawaongezi timu kwa kufika robo fainali tu mara moja kila unavyosonga kuna point nadhani hata Simba tukifka fainali hatuna point za kutuwezesha kuongezewa timu ligi yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mshabiki wa Simba ila swala la Simba kuwa wengi kupita Yanga nalikataa.

Simba tunaweza kuonekana wengi sasa hivi kwa sababu ya ubora wa timu, ila kiidadi vyura ni wengi aisee.
Nakazia hapa mashabiki wanajitokeza kutokana na imani waliyonayo kwa timu iko vizuri kumbuka kipindi cha Manji Yanga ilivyokuwa inajaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…