Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Mwarabu n wewe mikia FC.....Waarab dk 71 kagere
Watanzania wenye asili ya kiarab WWAK
Dk 71 kagere
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwarabu n wewe mikia FC.....Waarab dk 71 kagere
Watanzania wenye asili ya kiarab WWAK
Dk 71 kagere
Mikia FC ni timu yenye washabiki wapiga kelele mjini...si wengi na waliopo ni mbumbumbu.Simba ndo yenye mashabiki wengi, ukiacha uwanjani fanya research kwenye vibanda umiza, utagundua, hata kwenye mauzo ya jezi tuu, pita mitaani uone ni jezi gani zinavaliwa sana utakuta ni za simba kwa hapa bongo
Sent using Jamii Forums mobile app
1000 tu kwa mwaka ..tungekuwa mbaliMkuu, mbona kuna fursa kubwa hapo?
Hao million 8 kwa ada ya Shs 12,000 kwa mwaka ni fedha ya maana. Billion 96! Hata wakitoa robo yake tu ni billion 24. Kuna sehemu tumelala.
Kweli mkuu, mwaka huu kama Yanga au Azam ingeshiriki confederation cup naamini zingeweza kufika makundi njia ya Mtibwa haikua ngumu sema ndiyo hivyo Mtibwa ni timu ya hapa hapa by default. Mimi ni shabiki wa Simba ila naomba Yanga iwe ya pili kwenye ligi, KMC au Singida iwe ya tatu na azam ichukue F.A cup. Simba aingie robo fainali ya Champions league tuongezewe timu 2. Yanga na Simba CAF champions league, Azam na Singida/KMC CAF confederation cup. Hapo ligi yetu tutaipa ubora sana.Natamani tufikie level hizo, angalau hata moja ikiwa Confederation Cup nyingine Champions League na zote ziwe zinakimbiza itakuwa poa sana.
Hata kama mnazomeana inakuwa kwa shangwe hakuna mnyonge.
Urojo FC huo.Kweli mkuu, mwaka huu kama Yanga au Azam ingeshiriki confederation cup naamini zingeweza kufika makundi njia ya Mtibwa haikua ngumu sema ndiyo hivyo Mtibwa ni timu ya hapa hapa by default. Mimi ni shabiki wa Simba ila naomba Yanga iwe ya pili kwenye ligi, KMC au Singida iwe ya tatu na azam ichukue F.A cup. Simba aingie robo fainali ya Champions league tuongezewe timu 2. Yanga na Simba CAF champions league, Azam na Singida/KMC CAF confederation cup. Hapo ligi yetu tutaipa ubora sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi, una hoja za msingi kasoro moja tu. Ungesema Yanga na Simba (whoever takes the first spot) zichukue nafasi mbili za kwanza TPL. Hayo mengine sina shida nayo. Fikeni hata fainali CAF Champions league.Kweli mkuu, mwaka huu kama Yanga au Azam ingeshiriki confederation cup naamini zingeweza kufika makundi njia ya Mtibwa haikua ngumu sema ndiyo hivyo Mtibwa ni timu ya hapa hapa by default. Mimi ni shabiki wa Simba ila naomba Yanga iwe ya pili kwenye ligi, KMC au Singida iwe ya tatu na azam ichukue F.A cup. Simba aingie robo fainali ya Champions league tuongezewe timu 2. Yanga na Simba CAF champions league, Azam na Singida/KMC CAF confederation cup. Hapo ligi yetu tutaipa ubora sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha... fainali ilikuwa juzi bingwa ameshapatikana mkuu! Mbona wenzako wengi wamesha kubali ukweli mpaka wanashagilia kufungwa kimojaKiongozi, una hoja za msingi kasoro moja tu. Ungesema Yanga na Simba (whoever takes the first spot) zichukue nafasi mbili za kwanza TPL. Hayo mengine sina shida nayo. Fikeni hata fainali CAF Champions league.
Dar es salaam sio tzUkweli mchungu. Ila mwenye macho haambiwi tazama. Mikoani. Dar kila maali ni simba brother.
kama nimfuatiliaji mzuri wa mechi utagundua simba ndio tim yenye washabiki wengi bara na visiwani. Ukirejea tamasha la simba day. Mechi ya mbambane. Nkana. Js soura. Elliy haly na leo watani. Utagundua wingi wa mashabiki ni wa simba.
hivyo nawashauri viongozi wa simba kutumia fursa hii kuifanya simba iwe bora kabisa africa na dunia kwa ujumla. Mashabiki wengi ni fursa nzuri kama ikitumiwa vizuri.
Hata taifa stars ikianza kufanya vizur watu hujaa sana uwanjan ikianza kupoteana hawaonekani.ndo tulivyo mashabikiWashabiki wa mpira walio wengi tuna sleeping culture pale timu tunazoshabikia zinapokuwa hazifanyi vizuri. Mfano Simba kipindi cha Yanga wana Manji usingeniona naenda uwanjani kuangalia game yetu vs Yanga.
Chukulia mfano tu hata kwa timu za Ulaya, miaka ya nyuma usingeenda kwenye banda umiza usikutane na watu zaidi ya 10 wamevaa jezi za Man Utd, leo hii unaweza kukaa hata mwezi hujaona watu zaidi ya 5 wakiwa na hiyo jezi.
Ushabiki ni kama upepo, muda ukifika utawaona tu. Natamani kuona hizi timu zikiwa na financial muscles sawa ili tuone itakuwaje, na twende international level wote.
Lost a battle not the war!Hahaha... fainali ilikuwa juzi bingwa ameshapatikana mkuu! Mbona wenzako wengi wamesha kubali ukweli mpaka wanashagilia kufungwa kimoja
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa shujaa sana, kwa Yanga hii hii!! Lets wait and seeLost a battle not the war!
Lakini sio viti.Hawa Washabiki wa Yanga mpaka wasikie ,wamelipiwa waingie bure uwanjani ndiyo unazungumzia.
Ile mambo ya bure mbaya sana,unakumbuka mpaka walivunja zile gates pale kwa Mchina.
Let us wait and see is a better observation. Anything else is not important.
Sasa wewe hiyo idadi huwa unaionea wapi?Ki idadi kwa maana ya nchi nzima Yanga ina mashabik weng ila Mashabiki wa simba wanaongoza kwenda uwanjan kushangalia team yao sio dar tu mpka mikoani.
Hawaongezi timu kwa kufika robo fainali tu mara moja kila unavyosonga kuna point nadhani hata Simba tukifka fainali hatuna point za kutuwezesha kuongezewa timu ligi yetuKweli mkuu, mwaka huu kama Yanga au Azam ingeshiriki confederation cup naamini zingeweza kufika makundi njia ya Mtibwa haikua ngumu sema ndiyo hivyo Mtibwa ni timu ya hapa hapa by default. Mimi ni shabiki wa Simba ila naomba Yanga iwe ya pili kwenye ligi, KMC au Singida iwe ya tatu na azam ichukue F.A cup. Simba aingie robo fainali ya Champions league tuongezewe timu 2. Yanga na Simba CAF champions league, Azam na Singida/KMC CAF confederation cup. Hapo ligi yetu tutaipa ubora sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia hapa mashabiki wanajitokeza kutokana na imani waliyonayo kwa timu iko vizuri kumbuka kipindi cha Manji Yanga ilivyokuwa inajazaMimi ni mshabiki wa Simba ila swala la Simba kuwa wengi kupita Yanga nalikataa.
Simba tunaweza kuonekana wengi sasa hivi kwa sababu ya ubora wa timu, ila kiidadi vyura ni wengi aisee.