Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Wenzao wote wamekazana wametoa sare. Ni "Nyuma Halali" pekee ndiyo waliofungwa. Hii ni aibu. Katika timu nane ufungwe we mwenyewe tu! Una gundu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutaanza kushangilia goli la tatu.
🤣😁😁🤣😁😁😁Tutaanza kushangilia goli la tatu.
😄😄😄😄😄😄
Eti nyuma halaliWenzao wote wamekazana wametoa sare. Ni "Nyuma Halali" pekee ndiyo waliofungwa. Hii ni aibu. Katika timu nane ufungwe we mwenyewe tu! Una gundu gani?
View attachment 2949615
Jamaa anajua kuyapanga kweli Mambumbumbu ya Rage. Baada ya mechi hapokei Simu.
Wamepigwa nyuma kwa hio?Eti nyuma halali
Aahaaa
View: https://m.youtube.com/watch?v=bwBTWSJNSjU&t=304s
Walifurahi kumbe walikuwa hawajui wanacho enda kukutana nacho wakaona wamemaliza na kuanza kuwakejeli Yanga.
Ndio vibonde wa round ya kwanza ,wenzao wanaenda kuanza upya yenyewe inaenda kutoka nyuma.Wenzao wote wamekazana wametoa sare. Ni "Nyuma Halali" pekee ndiyo waliofungwa. Hii ni aibu. Katika timu nane ufungwe we mwenyewe tu! Una gundu gani?
View attachment 2949615
Wazee wa pira papatu papatu aka Miso misondo!! Mwaka huu watapigwa nje ndani na Waarabu.