Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Tutaanza kushangilia goli la tatu.π€£πππ€£πππView attachment 2949632
π€£πππ€£πππTutaanza kushangilia goli la tatu.
ππππππ
Eti nyuma halaliWenzao wote wamekazana wametoa sare. Ni "Nyuma Halali" pekee ndiyo waliofungwa. Hii ni aibu. Katika timu nane ufungwe we mwenyewe tu! Una gundu gani?
View attachment 2949615
Jamaa anajua kuyapanga kweli Mambumbumbu ya Rage. Baada ya mechi hapokei Simu.π€£πππ€£πππView attachment 2949632
Wamepigwa nyuma kwa hio?Eti nyuma halali
Aahaaa
Hahahaha..hawa jamaa watakua wana matatizo ya kichwani
View: https://m.youtube.com/watch?v=bwBTWSJNSjU&t=304sWalifurahi kumbe walikuwa hawajui wanacho enda kukutana nacho wakaona wamemaliza na kuanza kuwakejeli Yanga.
Ndio vibonde wa round ya kwanza ,wenzao wanaenda kuanza upya yenyewe inaenda kutoka nyuma.Wenzao wote wamekazana wametoa sare. Ni "Nyuma Halali" pekee ndiyo waliofungwa. Hii ni aibu. Katika timu nane ufungwe we mwenyewe tu! Una gundu gani?
View attachment 2949615
Wazee wa pira papatu papatu aka Miso misondo!! Mwaka huu watapigwa nje ndani na Waarabu.π€£πππ€£πππView attachment 2949632