busha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 1,712
- 2,577
Rais wa nchi MO Dewji.
Waziri mkuu Barbara Gonzalenz.
Waziri wa ulinzi Jonas Mkude Nungunungu.
Wizara ya kazi Shomari Kapombe "show me the way"show show.
Waziri wa katiba na sheria wakili msomi Benard Morison.
Waziri wa nishati Thadeo Lwanga mkata umeme a.k.a Makamba.
Waziri wa ujenzi na miundombinu Erasto mashine Nyoni.
Waziri wa vijana jinsia na watoto Hassan Dilunga handsome boy.
Mkuu wa majeshi Pascal Wawa.
Kikosi cha anga Aishi Salum" Air Manula.
Balaa linannanzia hapa sasa panapo fatia kwenye wizara ya afya,dokta nguli kabisa mwenye weredi aliyebobea,daktari wa mpira atakae waliza watu wakatamani kufa na hili joto kali la Dar huko kaburini itakuwaje!.
Wizara ya afya wizara nyeti kabisa kuanzia sasa itaongozwa na waziri mwenye dhamana Dr.Khalid Aucho"a.k.a Dr.Janabi.
Ongeza wizara nilizoacha.
Simba tamu bwana asikwambie ntu.