Simba ndo giant wa Tanzania kwenye Mashindano ya CAF, msijisahaulishe

Simba ndo giant wa Tanzania kwenye Mashindano ya CAF, msijisahaulishe

Yanga ni timu ya zamani sana imeanzishwa 1935 lakini hawana historia yoyote ya maana kwenye Cafcl

Topolo ni klabu ya siku nyingi sana almanusura ianzishwe kipindi yesu yupo Duniani..... ila historia pekee waliyonayo ni kufika fainali Cafcc kombe ambalo sisi wana simba tunalitumia kama Warm up tu ya timu yetu.
Wamejikita kuwekeza kwenye vilabu kama Dodoma jiji,Pama Jiji,Namungo,Prison,Singida Big Tars,Singidq Fontain gate,Timu za Majeshi ili kupata point za BWERERE sasa linapokujq suala la kimataifa yanga ni sawa na PAMBA JIJI.
 
Back
Top Bottom