Simba nendeni Misri kukamilisha ratiba. Ukuta wa Yericko umegeuka kuwa ukuta wa biskuti, kila mechi bao

Ihefu kawamanueni juzi kati hapa ndiyo mkamfunge Al Ahly!!!

Wewe una shangaa na ilo villareal alimtoa Bayern Munich uku barcelona wakafungwa na Bayern nje ndani
Mpira ni mchezo wawazi hawaarabu waliwapa possion wakawa wanacheza mpira wa kuvizia
 
Ukubwa wa Simba ndo hutengenezwa hapa.

Taratibu hao wapo makundi, taratibu hao wameishia robo fainali zaidi ya mara kadhaa halafu kuingia makundi inakuwa si suala la ajabu tena
Leo raisi wa fifa yupo anaitazama na katamka simba guvu moja.

Taratibu tu...... mdogo mdogo........huku wakikejeliwa na vyura.
 

Hata Barcelona kule spain wanapigiwa promo kubwa kuliko Real madrid but in reality real madrid ni timu kubwa kuliko Barcelona
Young africa always watakuwa wanawajibu kwa vitendo
Miaka 5 ya ubora wako hujawahi kucheza final ya club bingwa au shirikisho

Young mwaka jana wamecheza mpaka final
Na sio ajabu mwaka huu yanga wanaweza kufika mbali zaidi yenu m[emoji122][emoji119][emoji3577]
 
Mpaka iwe. Hadithi zipo tu.
 
Aahaaaaaa
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Copy aliyokua anatembea nayo Ahly leo ni Copy ya Yanga ya miaka ya 80/90.
Unakua na viungo mafundi wawili na winga mbili zenye kasi ya radi, Simba walikua wakiteseka sana Cha kushangaza Ahly kaja kuitumia 2023 na kama si tunguli angeshinda game.


Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Uwa nawaambia ukweli timu itakayokuja kuleta heshima ya nchi hii kwenye mechi za kimataifa ni yanga tu, kwa maana wamewekeza kwenye usajili Bora, uongozi Bora na benchi Bora la ufundi, wakati huo wakiwa kwenye right way ya mfumo wao wa mabadiliko ambapo matunda yake yameanza kuonekana, Sasa mwakarobo wao wamewekeza kwenye propaganda uchwara, usajili wao ni vichekesho Kama mlivyosikia msemaji wao anatamba wanavizia kuiba wachezaji airport na iyo ndio timu inayojinasibu kwamba ni timu kubwa ya kushindana kimataifa,
Wamewekeza kwenye ushirikina wakitoka nje ya Tanzania ni vilio kwa maana uchawi aupandi ndege, Wao watuambie ni lini waliwai kupata matokeo kwenye nchi za Kiarabu kwa misimu minne mfululizo ya nyuma? Na watuambie matokeo yao kwenye viwanja vya ugenini ni ya namna Gani? Mpira unachezwa hadharani na yanga keshathibitisha kwamba ni timu Bora inayoweza kukupa matokeo popote iwe nyumbani iwe ugenini aijalishi anacheza na Nani zile habari za kwa mkapa atoki mtu alafu ukitoka nje unakuwa Kama debe tupu zilishapitwa na wakati matokeo yake ata iyo kwa mkapa atoki mtu imeshaferi!
Kila timu kwa sasa itakayokuja kucheza na mwakarobo kwa mkapa itakuja kwa kujiamini wakiamini wanapata goli muda wowote kwakuwa Kuna mapazia pale nyuma,
Tanzania inabaki kuwa na timu moja tu itayoleta heshima nayo ni yanga afrika, Aly ahly watacheza na yanga na usemi Wangu utathibitishwa siku iyo mtaona kitachotokea na timu Bora itakulikana rasmi!
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Gazeti lote hili ni kisa tu roho inakuuma uliomba simba ifungwe lakn ,,,,tulia mcheze lig ya mchangani mashindano makubwa kama hayo mtayaskilizia kweny bomba🤣🤣
 
Ukuta biscuit aka chujio aka dodoki.
 
amesikika yule striker wao akisema mechi ya marudiano tutnaicheza kwa ajili ya wapalestina...asa sijui itakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…