Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Red Bull katika ubora wake [emoji1787]Simba ni Simba ,awe amelala au amekufa anabakia kuwa Simba ,Simba anatisha, Simba ni mnyama mkali sana .usijaribu kumzoea ,Simba ni mkali sana ,muwe na adabu Simba ni kubwa sanaaaaa,,
Nguvu moja 🔥🔥🔥🔥Guvu moya
Redbull,,!embu fatilia kwanza nini maana yake,usije kudhani unaishusha jezi kumbe ndo inaipaisha,kwanza kinywaji cha Redbull kina hadhi gani Duniani,fatilia utajua?Red Bull katika ubora wake [emoji1787]View attachment 2318249
Dangerous goals scorer, professor Captain J. Bocco in a Red Bull colour.Red Bull katika ubora wake [emoji1787]View attachment 2318249
Ni ikisharudi kuwa Simba queens.Ipo siku kila mtu ataishabikia Simba.
Mlendaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Red Bull katika ubora wake [emoji1787]View attachment 2318249
hongera sana Uto kwakupata mapato makubwa lakini mkapasuliwa mbili bila na mchezaji wa newcastrel akiwemo[emoji28][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Ni suala la muda tu...Ipo siku kila mtu ataishabikia Simba.
Simba ni Simba ,awe amelala au amekufa anabakia kuwa Simba ,Simba anatisha, Simba ni mnyama mkali sana .usijaribu kumzoea ,Simba ni mkali sana ,muwe na adabu Simba ni kubwa sanaaaaa,,