Simba ni kama mfungwa aliyetuhumiwa kifo

pakacha77

Member
Joined
Aug 12, 2022
Posts
91
Reaction score
98
Uwezekano wa klabu ya Simba kukutana na moja ya timu zifuatazo yaani Mamelodi Sundowns, Wydad AC, na Esperance ni sawa Tu na mfungwa aliyehukumiwa kifo yaani Death row inmate ambae anasubiri utekelezaji wa hukumu kutoka kwa mamlaka husika na njia ipi ya hukumu yaani Execution methods.

Hivyo basi Simba kama mfungwa aliyetuhumiwa kifo anasubiri kifo tu kilichopo ni njia ipi itatumika kwake (1) Kunyongwa kwa kamba (Judicial hanging) (2) Sindano ya sumu(Lethal injection) (3) Kiti cha umeme( Electric chair) sasa kazi kwake kuomba aina ipi ya kifo anayotaka

NOTE THE FOLLOWING: Wydad AC ( Judicial Hanging),Mamelodi Sundowns ( Electric chair) and Esperance ( Lethal injection)
 
Uwezekano wa klabu ya Simba kukutana na moja ya timu zifuatazo yaani Mamelodi Sundowns,Wydad AC , na Esperance ni sawa Tu na mfungwa aliyetuhumiwa kifo yaani Death row inmate ambae anasubiri utekelezaji wa hukumu kutokana kwa mamlaka husika na njia ipi ya hukumu yaani Execution methods. Hivyo basi Simba kama mfungwa aliyetuhumiwa kifo anasubiri kifo tu kilichopo ni njia ipi itatumika kwake (1) Kunyongwa kwa kamba (Judicial hanging) (2) Sindano ya sumu(Lethal injection) (3) Kiti cha umeme( Electric chair) sawa kazi kwake kuomba Aina ipi ya kifo anayotaka
Andaa mwamvul I

Kuna povu linakuaja
 
Uwezekano wa klabu ya Simba kukutana na moja ya timu zifuatazo yaani Mamelodi Sundowns, Wydad AC, na Esperance ni sawa Tu na mfungwa aliyetuhumiwa kifo yaani Death row inmate ambae anasubiri utekelezaji wa hukumu kutoka kwa mamlaka husika na njia ipi ya hukumu yaani Execution methods.

Hivyo basi Simba kama mfungwa aliyetuhumiwa kifo anasubiri kifo tu kilichopo ni njia ipi itatumika kwake (1) Kunyongwa kwa kamba (Judicial hanging) (2) Sindano ya sumu(Lethal injection) (3) Kiti cha umeme( Electric chair) sasa kazi kwake kuomba aina ipi ya kifo anayotaka

NOTE THE FOLLOWING: Wydad AC ( Judicial Hanging),Mamelodi Sundowns ( Electric chair) and Esperance ( Lethal injection)
Omba mods heading ....kama mfungwa ...aliyehukumiwa.....
 
[emoji23]
Ila hamtaamini macho yenu
 
Mfungwa halafu anatuhumiwa? Una akili sawasawa wewe?
 
Uwezekano wa klabu ya Simba kukutana na moja ya timu zifuatazo yaani Mamelodi Sundowns, Wydad AC, na Esperance ni sawa Tu na mfungwa aliyehukumiwa kifo yaani Death row inmate ambae anasubiri utekelezaji wa hukumu kutoka kwa mamlaka husika na njia ipi ya hukumu yaani Execution methods.

Hivyo basi Simba kama mfungwa aliyetuhumiwa kifo anasubiri kifo tu kilichopo ni njia ipi itatumika kwake (1) Kunyongwa kwa kamba (Judicial hanging) (2) Sindano ya sumu(Lethal injection) (3) Kiti cha umeme( Electric chair) sasa kazi kwake kuomba aina ipi ya kifo anayotaka

NOTE THE FOLLOWING: Wydad AC ( Judicial Hanging),Mamelodi Sundowns ( Electric chair) and Esperance ( Lethal injection)
Simba atafika hatua ya fainali...

Tunza uzi wako huu...ila lazima muumbuke kwa hizo kejeli zenu.

Hakuna wa kumtisha mnyama kwenye hizo timu.
 
Hata ukienda gerezani mfungwa aliyehukumiwa kunyongwa kumtukana Askari jela si ajabu kwa sababu wanajua hata wawe wapole vipi kifo kipo palepale
 
Simba SC hawezi ishia robo fainali....Msimu huu Simba ni mbio tu hadi final.

Kaa kwa kutulia.
Subiri kitachotokea,
Na nilicho ongea,
ndicho kitakacho tokea,
Amini nakwambia hadi final anatoboa.

Home

Simba 3:1 Waydad/ Esp Tunni/M. Sundown

Away

Waydad/ Esp Tunnis/M. Sundown 1:1 Simba SC
 
Thubutuuuuuu modern football depends greatly on investment timu kama Wydad AC ambayo inamiliki mchezaji mwenye thamani ya mpaka bil 4 na ushee halafu useme tu kwa kufurahisha Baraza eti utampiga 3 [emoji13][emoji13] ndugu hizo timu zimetumia pesa nyingi kuwekeza soka la sasa maneno kidogo pesa nyingi Ile mentality ya kwa Mkapa hatoki mtu pasipo kuwa na timu Bora is just nothing
 
Sawa...kumbe umekariri matango pori.

Siku hazigandi..
 
Sawa...kumbe umekariri matango pori.

Siku hazigandi..
Sio kukariri wewe ndio unaekariri eti mkicheza kwa Mkapa ni lazima mpate ushindi ndugu yangu timu bora inaweza kupata matokeo popote katika mazingira yoyote
 
Ni wapi Nimetaja kwa "Mkapa"?
 
Back
Top Bottom