Simba ni kama mfungwa aliyetuhumiwa kifo

Simba ni kama mfungwa aliyetuhumiwa kifo

Simba hii si ndio mliyokua mnaibeza kwamba haiwezi kufika kokote? Leo hii wako robo fainali..
Kwa kweli tunawashukuru sana ndugu zetu wa Vipers. Wale Raja tu ndiyo wana roho mbaya. Sijui kwa sababu ni Waarabi!
 
Ila Simba tunaandamwa sana, kisa hawa utopolo kuongoza kundi la shirikisho, je wangeongoza kundi la klabu bingwa ingekuwaje
 
Back
Top Bottom