gugumaji Member Joined Oct 25, 2012 Posts 25 Reaction score 19 Jan 14, 2024 #1 Ukiangalia Yanga unagundua hizi timu zinafanana kila kitu inapokuja mpira wa ndani. Ila ukisema ni mashindano ya CAF yule Mzee Kapombe anakuwa Under 20 vile anaupiga kama ndio kapandishwa leo toka timu ya Vijana anagombea namba na Kina Mwenda!
Ukiangalia Yanga unagundua hizi timu zinafanana kila kitu inapokuja mpira wa ndani. Ila ukisema ni mashindano ya CAF yule Mzee Kapombe anakuwa Under 20 vile anaupiga kama ndio kapandishwa leo toka timu ya Vijana anagombea namba na Kina Mwenda!
lonelywolf Member Joined Mar 9, 2022 Posts 10 Reaction score 54 Jan 14, 2024 #2 Ni hataree ngoja waje wazee[emoji16]
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Jan 14, 2024 #3 Aisee