OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uzi unazungumzia Simba itampiga mwarabu,akuna neno"Yanga atafungwa na Mazembe"ila akili yako ndo imejiswitch kuandika ulichoandika,,,umenipata!Mashabiki wa simba wanafurahisha mno, wakati wakiamini Yanga itafungwa na TP Mazembe, wao wanaamini wataifunga Raja.... Hakika wanafurahisha mno
The reverse is also true...Mashabiki wa simba wanafurahisha mno, wakati wakiamini Yanga itafungwa na TP Mazembe, wao wanaamini wataifunga Raja.... Hakika wanafurahisha mno
Mashabiki wa simba wanafurahisha mno, wakati wakiamini Yanga itafungwa na TP Mazembe, wao wanaamini wataifunga Raja.... Hakika wanafurahisha mno
[emoji23][emoji23] kuna watu wana gundu balaaKila nyuzi zako huwa zinakubumia sijui una nini?