Simba ni mwakarobo, je Yanga ni mwaka?

Simba ni mwakarobo, je Yanga ni mwaka?

itakiamo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
893
Reaction score
1,739
Simba ni mwakarobo, je yanga ni mwaka.....? Tusaidianeni tuwapatie jina hawa wazee wa four figure na calculator.
FB_IMG_17372295883327899.jpg
 
Mwakarobo ni kila mwaka anaishia robo ikute na hii ataishia robo mtani,sasa yanga hayupo huko hana sehemu maalum anaishiaga amefika final , ameishia robo , akaishia makundi
 
Mwakarobo ni kila mwaka anaishia robo ikute na hii ataishia robo mtani,sasa yanga hayupo huko hana sehemu maalum anaishiaga amefika final , ameishia robo , akaishia makundi
Kiswahili yako ni ngumu 😂😂 andika ile ya teketeke, njo maelezo ni mengi
 
Gusa achia twende nyumbani, walijua ni rahiiiiisi, yameaibisha taifa haya !
 
Back
Top Bottom