Simba ni rahisi Sana kufungika

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Tokea nianze kuifuatilia team ya Simba Ina udhaifu fulani especially Kama hautaipa space na kuwapress high wanapotea team nzima na ndio maana wanashindwa kupataga matokeo dhidi ya prison na hiki ndio kilichotokea wakatolewa na ud songo.

Kocha wa Yanga akichanga karata zake vizuri Kama mwanzo Yanga watapata matokea positive.

Namna ambavyo haji manara anavyoipamba Simba sio kweli Simba Ina team nzuri kiasi hicho mabeki wake Ni wazito alafu sio wazuri kwenye kukaba ndio maana wanapokutana na winga wenye Kasi na striker msumbufu wanapata shida Sana.

Uzuri wa Simba unaanzia Kati kwenda mbele lakini Kama hautawapa space na mkawa combat team yao nzima inavurugika.

Kuna wakati sio lazima uwe na wachezaji wazuri ili upate matokeo Bali kuja tactics sahihi kwenye game na Kama hawatakuwa makini hapa ndio watakapo fungwa na Yanga.

Hizo changamoto nilizo ainisha Kama hawatazifanyia kazi ligi ya mabingwa Africa wataenda kusindikiza na zile hamsa hamsa zitawahusu.
 
Timu zote zilizo pata matokeo kwa Simba zilianza kuwakabia juu, ukiwa kabia juu Simba hawana uwezo wa kutoka na mpira au wanauopoteza haraka. Kwa ujumla Simba hawajazoea kuwekwa katika presha, pale nyuma Wana wachezaji ambao hawana uharaka.
 
Kwasisi ambao hatupepesi Simba amefungwa jumla ya mechi 7 za Ligi kuu na angekuwa ameshatolewa katika Azam cup kichofanyika MO na marefa wanakijua. Ndio maana Yanga wanasema Kama hakuna makondokando Simba hawezi kumfunga Yanga.
 
Tunasema hiviiiiiiiii......'HAKUNA KUPANDA NDEGE' mpaka siku mtakasema samahani nyie SIMBA tumewasingizia sana....
 
Kwasisi ambao hatupepesi Simba amefungwa jumla ya mechi 7 za Ligi kuu na angekuwa ameshatolewa katika Azam cup kichofanyika MO na marefa wanakijua. Ndio maana Yanga wanasema Kama hakuna makondokando Simba hawezi kumfunga Yanga.
Endelea kuhesabu huu mwaka 3 mpaka itimie 10 bado miaka 7 na badoo
 
Kwasisi ambao hatupepesi Simba amefungwa jumla ya mechi 7 za Ligi kuu na angekuwa ameshatolewa katika Azam cup kichofanyika MO na marefa wanakijua. Ndio maana Yanga wanasema Kama hakuna makondokando Simba hawezi kumfunga Yanga.
Yeees!! Bila janjja janjja Yanga hafungwi na Simba.

Huu ndo ukweli Mkuu.
 
Kwasisi ambao hatupepesi Simba amefungwa jumla ya mechi 7 za Ligi kuu na angekuwa ameshatolewa katika Azam cup kichofanyika MO na marefa wanakijua. Ndio maana Yanga wanasema Kama hakuna makondokando Simba hawezi kumfunga Yanga.
Kweli kabisa...yaani MO ndo alimhonga Shomari lawi Simba akaingia nusu fainali.
 
Unasema!!
 
Kwasisi ambao hatupepesi Simba amefungwa jumla ya mechi 7 za Ligi kuu na angekuwa ameshatolewa katika Azam cup kichofanyika MO na marefa wanakijua. Ndio maana Yanga wanasema Kama hakuna makondokando Simba hawezi kumfunga Yanga.
Leo vipi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…