Simba ni rahisi Sana kufungika

Simba ni rahisi Sana kufungika

Yeees!! Bila janjja janjja Yanga hafungwi na Simba.

Huu ndo ukweli Mkuu.

Haya hebu tupe janja janja za simba leo hadi mkalambwa hizo nne
IMG_0881.jpg
 
Pale unapojifanya mchambuzi uchwara kumbe ni mshabiki wa Yanga kindakindaki,peleke hizo data zako chumbani kwenu
 
Tokea nianze kuifuatilia team ya Simba Ina udhaifu fulani especially Kama hautaipa space na kuwapress high wanapotea team nzima na ndio maana wanashindwa kupataga matokeo dhidi ya prison na hiki ndio kilichotokea wakatolewa na ud songo.

Kocha wa Yanga akichanga karata zake vizuri Kama mwanzo Yanga watapata matokea positive.

Namna ambavyo haji manara anavyoipamba Simba sio kweli Simba Ina team nzuri kiasi hicho mabeki wake Ni wazito alafu sio wazuri kwenye kukaba ndio maana wanapokutana na winga wenye Kasi na striker msumbufu wanapata shida Sana.

Uzuri wa Simba unaanzia Kati kwenda mbele lakini Kama hautawapa space na mkawa combat team yao nzima inavurugika.

Kuna wakati sio lazima uwe na wachezaji wazuri ili upate matokeo Bali kuja tactics sahihi kwenye game na Kama hawatakuwa makini hapa ndio watakapo fungwa na Yanga.

Hizo changamoto nilizo ainisha Kama hawatazifanyia kazi ligi ya mabingwa Africa wataenda kusindikiza na zile hamsa hamsa zitawahusu.
Unaposema Hamsa hamsa zitatuhusu Ongezea na Robo fainali itatuhusu
 
Kwasisi ambao hatupepesi Simba amefungwa jumla ya mechi 7 za Ligi kuu na angekuwa ameshatolewa katika Azam cup kichofanyika MO na marefa wanakijua. Ndio maana Yanga wanasema Kama hakuna makondokando Simba hawezi kumfunga Yanga.
Say it again bud
 
Back
Top Bottom