Simba ni 'threat' katika kukuza mpira Tanzania

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Habarini za Asubuhi wapendwa?

Leo nipo hapa kuongea kuhusukinachoendelea katika Club ya SIMBA. Viongozi wengi wa Simba especially Manara hana maono yoyote kuhusu mpira yupo kupiga kelele tu nina mashaka na Elimu yake ya darasani (asifanye niamini aliyosema Muro)

Boss wa Simba MO anathibitisha kuwa unaweza kuwa na mali ukakosa maarifa.

Kwanini nawaponda hawa watu?

Sababu wanashindwa kuelewa kuwa simba inaweza kufanyika kuwa daraja la kutoa wacheza kwenya kimataifa kuliko kukaa kukumbatia mizigo kama BOCCO. na KAGERE 36+ YEARS

Kwanini vijana kama Ajibu asiwe promoted?

Ndemla sawa hana nafasi ila hauwezi kuniambia Bocco ana uwezo kuliko Ajibu nikakuelewa. Kwa taarifa yenu tu uyo LUIS hana tofauti yeyote na KICHUYA ni kitendo cha mda tu.

Hata mkijitahidi kununua hamuwezi kufikia walipo Mazembe na wengine, mtajipotezea mda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sababu wanashindwa kuelewa kuwa simba inaweza kufanyika kuwa daraja la kutoa wacheza kwenya kimataifa kuliko kukaa kukumbatia mizigo kama BOCCO. na KAGERE 36+ YEARS
kwanini vijana kama Ajibu asiwe promoted?
Mkuu, kwani kuna timu iliyokatazwa kusajili vijana na 'kuwapromote'? (hapo nimeandika tu lakini hata sijaelewa unamaanisha kitu gani kupromote vijana). Hoja yangu ya msingi ni hii, kwani lazima uwapangie Simba? Vilabu vingine haviwezi kumsajili Ajibu halafu 'vikampromote'? TFF inakataza vilabu kusajili vijana? Mbona kila klabu ya ligi kuu ina timu B ya vijana na kuna ligi ndogo inaendeshwa?
 
Mkuu usitumie nguvu nyingi kumjibu huyo shabiki wa vyura. Ni shabiki maandazi tu atakaye sema simba inang'ang'ania wachezaji 'wazee', wakati hao 'wazee' walileta mafanikio makubwa msimu uliopita na msimu huu wanaongoza ligi.
 
kwa nini asianzishe timu yake ili awapromote, sisi simba juhudi zako ndizo zinafanya mtu acheze, na siyo jina wala sura, huko kwao ni watanzania wangpi wanapigwa benchi hadi wanaletwa akina Molinga! hilo halioni.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajibu alisajiliwa Simba kwa shinikizo la mtoto wa mwekezaji MO, Hiyo ndio Simba, Siku hata shangazi wa MO akitaka mchezaji yoyote asajiliwe Simba hata kama hana uwezo atasajiliwa tu.
Kwani kuna kanuni inakataza vilabu vingine kusajili kwa 'shinikizo'?
 
Wewe hujui mpira kabisa. Mpira wa sasa hauitaji kipaji pekee unahitaji na juhudi ya ziada kaka. Unampromote mtu ambaye anataka kuwapromoted....wewe unaacha timu inayokuwa na uhakika wakucheza quarter final ya caf champions league unabakia bongo dhahiri shairi huyo hamna shida ya kumpromote maana hana nia ya dhati ya kutaka kucheza mpira wa kiwango cha juu.
 
"Boss wa simba MO Anathibitisha kuwa unaweza kuwa na mali ukakosa maarifa"....Mo hana akili yoyote ya kumfanya kuwa tajiri...rushwa ,mauwaji,wizi na ujangiri toka enzi ya baba yake ndio vimewafikisha hapo...angalia projects zake zote za kuiga..juzi kashindwa mahakamani kaiba jina la sabuni....ndio maana amezungukwa na genge la wanyang'anyi wakina Bashite,Try again na Magori
 
Hela yake ni ya damu. Walimuua Mkemia Mkuu wa serikali wakati huo.
 
Kaka twende tukajifunze kule Italia. Waangalie Juventus, Inter, Lazio na atalanta wazee lukuki
 
Leo Kagere amekuwa mzigo Simba. Haya buana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…