papason
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 5,119
- 5,698
ingawaje simpendi hata kumuona ila ki ukweli haji 'Manara' ndiye mtanzania aliye ufufua utani wa jadi na ushindani wa soka Tz baada ya kuwa umekufa kwa muda through vijembe, majigambo, madongo na hata matusi yake ya u-simba na u-Yanga. Kwa kweli kwa hili tunapaswa kumpongeza kwa dhati kabisa kwa 'salute' kubwa. nenda Kenya, Uganda, Rwanda uone kama kuna ushindani wa mpira na hasa kwa vilabu vya ndani kama Tz.