kampe hirizi labda atarudia makali yakeLeo Kagere amekuwa mzigo Simba. Haya buana
ivi kwa Akili ya kawaida unaweza kupenya nusu fainal CAF kwa kununua wachezaji waliotemwa AZAM?"Boss wa simba MO Anathibitisha kuwa unaweza kuwa na mali ukakosa maarifa"....Mo hana akili yoyote ya kumfanya kuwa tajiri...rushwa ,mauwaji,wizi na ujangiri toka enzi ya baba yake ndio vimewafikisha hapo...angalia projects zake zote za kuiga..juzi kashindwa mahakamani kaiba jina la sabuni....ndio maana amezungukwa na genge la wanyang'anyi wakina Bashite,Try again na Magori
wanazingua dropout wa AZAM wa 5 ambao hata leo wakienda azam hawapati namba unategemea maajabu?Ila wenyewe wanadai Kagere wa mwaka 1992 na Bocco wa 1994.
ivi wewe BOCCO akirudi AZAM atamuweka nani BENCHI?Wewe hujui mpira kabisa. Mpira wa sasa hauitaji kipaji pekee unahitaji na juhudi ya ziada kaka. Unampromote mtu ambaye anataka kuwapromoted....wewe unaacha timu inayokuwa na uhakika wakucheza quarter final ya caf champions league unabakia bongo dhahiri shairi huyo hamna shida ya kumpromote maana hana nia ya dhati ya kutaka kucheza mpira wa kiwango cha juu.
Duh
Yanga walimnunua Haruna Moshi Boban kutoka African Lyon ili awasaidie kwenye michuano ya kimataifa mwaka janaunaweza kupenya nusu fainal CAF kwa kununua wachezaji waliotemwa AZAM?
Kwa hiyo mliwauzia mechi Kagera Sugar wakawafunga goli 3-0 au sio? Kama mnataka kuongoza ligi, kwa nini mnauza mechi badala ya kununua?BILA KUNUNUA MECHI SIMBA WASINGEKUWA WANAONGOZA LEAGUE NA HILO NIMELIAMINI BAADA YA KUSHINDWA KUMFUNGA YANGA
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kuufufua Bali alipotezwa na jer muro wakat yanga iko katika level zake manara alikuwa Hana jipya kabisa mjin amekuja kuwa juu baada ya moo kuwekeza hapoingawaje simpendi hata kumuona ila ki ukweli haji 'Manara' ndiye mtanzania aliye ufufua utani wa jadi na ushindani wa soka Tz baada ya kuwa umekufa kwa muda through vijembe, majigambo, madongo na hata matusi yake ya u-simba na u-Yanga. Kwa kweli kwa hili tunapaswa kumpongeza kwa dhati kabisa kwa 'salute' kubwa. nenda Kenya, Uganda, Rwanda uone kama kuna ushindani wa mpira na hasa kwa vilabu vya ndani kama Tz.
Mkuu anzisha hata ka-timu ka watu 11 tuone mfano. Mipango ya mdomoni rahisi sana.Habarini za Asubuhi wapendwa?
Leo nipo hapa kuongea kuhusukinachoendelea katika Club ya SIMBA. Viongozi wengi wa Simba especially Manara hana maono yoyote kuhusu mpira yupo kupiga kelele tu nina mashaka na Elimu yake ya darasani (asifanye niamini aliyosema Muro)
Boss wa Simba MO anathibitisha kuwa unaweza kuwa na mali ukakosa maarifa.
Kwanini nawaponda hawa watu?
Sababu wanashindwa kuelewa kuwa simba inaweza kufanyika kuwa daraja la kutoa wacheza kwenya kimataifa kuliko kukaa kukumbatia mizigo kama BOCCO. na KAGERE 36+ YEARS
Kwanini vijana kama Ajibu asiwe promoted?
Ndemla sawa hana nafasi ila hauwezi kuniambia Bocco ana uwezo kuliko Ajibu nikakuelewa. Kwa taarifa yenu tu uyo LUIS hana tofauti yeyote na KICHUYA ni kitendo cha mda tu.
Hata mkijitahidi kununua hamuwezi kufikia walipo Mazembe na wengine, mtajipotezea mda tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kuandika tu hauwezi sio haujui hauwezisio lazima wote tuwe mashabiki wampila jalibu kushabikia vingine labda utafanikiwa ucku kwenye soka kume kushinda
Nina miliki team mkuu na inafanya poaMkuu anzisha hata ka-timu ka watu 11 tuone mfano. Mipango ya mdomoni rahisi sana.
Ujinga wa yanga na simba umezidiana kimoYanga walimnunua Haruna Moshi Boban kutoka African Lyon ili awasaidie kwenye michuano ya kimataifa mwaka jana
Inashiriki masindano ngazi ipi ili tuone ukweli?