Simba ni timu yenye thamani zaidi kuliko timu zote Tanzania

Simba ni timu yenye thamani zaidi kuliko timu zote Tanzania

Hivyo vikombe vya milioni 80 vinathamani gani na pale Simba inapofika robo fainali CAF Champions mfululilo nakupata zaidi ya 1.5 Biliions.
Hiyo hela yanga anaenda kuipata sababu anaenda kuingia nusu fainal
 
Thamani ya ni nje ya watanzania sio ndani. Misimu 2 yote hawana kombe ya Kigi kuu, shirikisho na hawajui ni lini watapata
Kwa hiyo Tanzania timu ambayo haina Kombe hizo mfululizo ndio inakuwa Timu Bora Tanzania?
Unajua jamaa ni mjnja sana, yaani hapo amekuachia msala ubaki unabishana na TV 🤣
 
Kuna timu fulani mara ya mwisho kuingia makundi Champions league. Ilikuwa ukitoka Dar to Mwanza itabidi uende Kenya kwanza ukatokezee Sirari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mafanikio yao makubwa nje na ndani ya nchi ni kuchoma uwanja na kuingia kinyumenyume kwenye geto la warabu.
Unasemaje?
FB_IMG_1680614951255.jpg
 
Thamani ya timu haipimwi kwa upuuz mnaoandika,kuna kazi kubwa sana ya kuwafundisha mbumbumbu
 
Thamani ya ni nje ya watanzania sio ndani

Misimu 2 yote hawana kombe ya Kigi kuu, shirikisho na hawajui ni lini watapata

Kwa hiyo Tanzania timu ambayo haina Kombe hizo mfululizo ndio inakuwa Timu Bora Tanzania?
Umeandika nini mkuu??mbona vitu viwili tofuati hapo..kwenye wenye akili hukp kwenu ni 2
 
Back
Top Bottom