Mributz
Senior Member
- Aug 29, 2022
- 177
- 527
#MICHEZO Timu ya Simba Queens imethibitisha kuinasa saini ya kiungo Amina Bilal ambaye msimu uliopita alikuwa akiitumikia JKT Queens na pia aakipiga mnamo timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania Twiga Stars.
Msimu uliopita wa Ligi, Amina alifunga mabao manne na kusaidia kupatikana kwa mengine sita (Assisti).
P
Msimu uliopita wa Ligi, Amina alifunga mabao manne na kusaidia kupatikana kwa mengine sita (Assisti).
P