Simba Queens wajihakikishia $ 200,000 baada ya kutinga Nusu Finali ya CAF Women Champions League

Sioni cha kukupinga. Mia
 
hela zote mnazopata huwa mnapeleka wapi, simba haina asset jiulize leo kesho mo akiondoka simba inabaki na nini? mabasi yote yale mnakodisha africarriers
Tatizo unajitoa ufahamu

Hujui maana ya udhamini?

MO ajitoe Simba kalogwa? Yeye alishaona thamani ya Simba 2022 tokea Mwaka 2013 huko.

Bila uwekezaji wake Simba ingeendelea kuwa mbaya sana.

Uwekezaji wake umesababisha watu kujitambua.

Leo hii Simba ina mabasi 4

Timu ya Wanawake, Timu kubwa, Timu ya Vijana

Leo Simba ana Uwanja wa Mazoezi

Leo Simba ana Hostel nzuri

Ofisi za Simba ni nzuri

Simba wana production studio yao
 
Azam aliona gap kubwa, akaona awekeze.
Akaanza nunua haki mdogo mdogo, leo hii tukiitoa SAfrika, hakuna nchi inaifikia ligi yetu kwa match live.

MO naye aliona gap, akaweka akili zake, akaamua aanze mchakato mapema kabla hajawekeza.

Mchakato ukawa sealed, akaanza wekeza na kuipaisha thamani ya Simba.

Leo hii Simba haina thamani ya 41bil ambazo zilithaminishwa mwaka 2015.
Tena walithaminisha timu iliyokuwa na Uwanja Eka 24, na Majengo Mawili Msimbazi. Thamani ya Simba ilionekana kwa mashabiki.

Ila leo Thamani ya Simba ni kubwa ni zaidi ya Bilioni 100.

Mf Chelsea ilikuwa haina Assets ila imenunuliwa pesa nyingi sana
 
Pia,
Hao Mabinti wanaishi Maisha duni sana hata kupanga tu hawana uwezo wa kulipa kodi wengi wanaishi kwao au kwenye kambi,
Ngoja tuone mabadiliko msimu huu
Je wale wa Yanga huishi wapi?
 
Kuna watu wakiambiwa MO kaisaidia Simba sana wanakataa. Ila haya mafanikio kwa asilimia 100 ni mkono wa MO.

Sisi twaangalia leo na kudai Simba ina thamani zaidi, ila hatuangalii 2016 ambapo hali ilikuwa mbaya au 2013 ambapo tulikuwa wa ajabu ajabu.
100% unampa binadamu mwenzio Mungu anampa ngapi? ukiendelea hivi kuna unachokitafuta na kitakupata.
 
Siwajui sana Wachezaji wa Yanga Princess lakini, sidhani kama wana tofauti na wenzao.... Maisha duni
Hizi hela zitaenda zaidi kurecover gharama mbalimbali ambazo zimeenda kutumika kuijenga timu huku mapato bado ni duni. Nadhani kiwango cha chini cha mishahara yao hakipungui 500,000 na hapo wanapata chakula na malazi bure. Hiyo siyo hela ndogo katika mazingira yetu haya.

Pia kibongobongo, wakipewa hela nzuri sana mfano kutoka kwenye zawadi hizi, kuna watakaoacha mpira wakafanye biashara nyingine au watatiwa mimba.
 
hela zote mnazopata huwa mnapeleka wapi, simba haina asset jiulize leo kesho mo akiondoka simba inabaki na nini? mabasi yote yale mnakodisha africarriers
We unadhani huko utopolo una chako zaidi ya matokeo?
 
Personally I like the lack of noise in Tanzanian women’s football.

It’s just pure football, isn’t it? No evil propaganda, no wasemaji and their shenanigans, no chawas (well, certainly not as many). Pure football!
 
hela zote mnazopata huwa mnapeleka wapi, simba haina asset jiulize leo kesho mo akiondoka simba inabaki na nini? mabasi yote yale mnakodisha africarriers
Unajua maana ya uwekezaji 49%?

Mo aondoke kwenda wap, uliza pia bakhresa akiondoka azam inabak na nn

Tofaut yao ni % ya umiliki ila wote ni wamiliki sio wafadhili kama GSM wa yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…