OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Sioni cha kukupinga. MiaMabadiliko makubwa ya soka nchi hii yana mkono wa bakhresa kupitia azamtv na mo kupitia simba.
Leo hii watu ndio wanaona umuhimu wa kucheza makundi, zamani ilikuwa ni michuano poa poa, mo aliona simba kuna uwezekano wa kupiga hela, kaweka hela anapiga hela, sioni kosa katika hilo.
Azam tv kapandisha thamani ya ligi yetu.
Watu huwa wanabisha kwa usimba na uyanga tu.