Simba Queens wanajua jamani wanastahili zawadi

Simba Queens wanajua jamani wanastahili zawadi

Kwa kweli wale wadada walitutoa kimasomaso, likuwa burudani tosha sana kutazama mechi ile, ilikuwa Simba Queens lakini niliona fahari zaidi kuwa Mtanzania
 
Veru true, hakika Simba Queens wanafuata nyayo za kaka zao si kama wale utopolo......kimataifa wao na dada zao wanasikia redioni tu, wakienda kushiriki na kuwakilisha nchi wanarudi na haibu.
Akina Dada wapo vizuri mungu awafungulie njia wafike mbali zaidi afrika na dunia

Sisi wana yanga kwenye ukweli tunaongea ukweli hatupendi kuzodoana kama mwenzio anafanya vizuri mpe moyo mpe pongezi.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Simba Queens wanajua boli ila kuna wale wadada wa Ethiopia wanaitwa CBE(Commercial bank of Ethiopia)nilicheki mechi yao walicheza na she corparate ya uganda wana balaa wale hatari nimeshukuru kwa kutolewa kwao maana wangekutana Simba Queens sijui ingekuwaje. Halafu kuna ile timu ya South Sudan nimiesahau jina japo walifungwa goli nyingi ila golikipa wake ni mtu na nusu dah mdada anadaka boli yule nztamani simba queens wamsainishe maana pale golini mgunda hayuko vizuri sana
 
Yule kipa mzuri sana. Simba wamchukue atawasaidia sana.

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Ukisikia tu Medina halafu ukasikia abera losa basi ujue CBE Washatia kamba dahh hawa CBE wa moto huyu captain wao losa abera siyo tu ni mzuri wa sura ni mzuri kwenye nyavu binti anajua bonge la striker.
Nusu fainali muda huu CBE vs AS Kigali fc W
 
Dah CBE hawa nimejikuta nimekuwa mshabiki wao bure. Watoto wanapiga free kick hizo balaa yaani kila anayepiga ni kiwango cha terminal III kma SGR.
Yaani bora tu wkt mwingine walitolewa mapema simba queens wasingeweza mziki wao japo hata hao She Corporate si wa kuwabeza
 
Kwenye updates za mechi aweke hapa tafadhali
 
Wakuu matokeo ya fainali ngapi ngapi
 
Back
Top Bottom