Simba Queens wapewa alama na TFF, sasa wanaongoza ligi

Ayo ni mambo ya Europe financial fair play ayahusiani na FIFA na izo point afaidiki nazo yoyote, Everton pale Epl walikatwa.
 
bingwa wa kuwakilisha Nchi kimataifa kupatikana kwa points za mezani sio Afya kabisa kwa soka la Nchi.
 
Inakuaje JKT wakatwe points 5 then Simba Queens wapewe points 3?
Tena adhabu ya kutotokea uwanjani kwa ligi ya Bara ya wanaume ni kushushwa madaraja mawili. Pointi 3 kwa Simba kwa kuwa mpinzani hajatokea uwanjani, na pointi 5 zinatolewa kama adhabu kwa timu isiyotokea uwanjani (badala ya kushushwa madaraja mawili)
 
kwanini hawajashushwa kama kanuni zinasema hivyo?
 
Back
Top Bottom