The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
That’s football Babaa,Mambo za kufutana machozi waje Yanga Queens basi.Asa ningeanza kushabikia 1935!?
Simba queens hapana aisee angalau Leo wangeshinda wamfute machozi Karia pale jukwaani
Za bure vipi na timu haikuja kiwanjani? Tucheze peke yetu au?Simba ilipewa points za Bure game Jkt ili waende kimataifa matokeo yake tumeyaona
Aibu
Za bure hizo 3??..walishindwa kupambana game zilizokuja..?Simba ilipewa points za Bure game Jkt ili waende kimataifa matokeo yake tumeyaona
Aibu
Mgunda anawakaza sana watoto wale, wawili tayari wana mimba na inasemekana yeyeWalianza vzr sana msimu sijui tatizo nini...
Umelogwa...nenda ukajiague...Mgunda anawakaza sana watoto wale, wawili tayari wana mimba na inasemekana yeye
Kweli Kuna utani wa hizi timu lakini tusifikie kuwavunjia heshma watani zetu. Ni jambo la kuhuzunisha kukuta comment kama ii kwa Watu wa Jamii ya mpira.Mgunda anawakaza sana watoto wale, wawili tayari wana mimba na inasemekana yeye