Simba Queens yatinga Fainali kibabe,yaua 5-1

Hakuna mahusiano yoyote ya kufika fainali na kuchukua kikombe. Bahati nzuri mpira wa miguu tafsiri ya ubora wako ni vikombe tu. Ndugu zangu Mbumbumbu fc
Ili mtambulike chukueni ubingwa.
 
Hakuna mahusiano yoyote ya kufika fainali na kuchukua kikombe. Bahati nzuri mpira wa miguu tafsiri ya ubora wako ni vikombe tu. Ndugu zangu Mbumbumbu fc
Ili mtambulike chukueni ubingwa.
Muwalipe posho wadada wa watu....
Sio mnawachezesha wakiwadai mnawatimua.
 
Fainali wanacheza na nani,lini,saa ngapi na uwanja gani,mechi zinaonyeshwa na kituo gani cha Runinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…