Simba Queens yatinga Fainali kibabe,yaua 5-1

Simba Queens yatinga Fainali kibabe,yaua 5-1

Hakuna mahusiano yoyote ya kufika fainali na kuchukua kikombe. Bahati nzuri mpira wa miguu tafsiri ya ubora wako ni vikombe tu. Ndugu zangu Mbumbumbu fc
Ili mtambulike chukueni ubingwa.
Yanga princess wao vipi??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unavurugwa vibaya mnooo, poleeeeeh
 
Back
Top Bottom