OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hongera warembo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hater?Who cares
Mjomba,Ila umeumia! Hahahahaaa!Who cares
Wakisoma hii komenti wanakufa kabisa.Hawa watatwaa ubingwa kwa miaka 20 mfululizo.
Mwenye "buluu" je?Mwenye sura ya kike ni mmoja tu hapo.
Huyo mwenye dread.
Ubingwa Upi Wa WBA, WBC, IBF Au WBO?Soon na kaka zao watabeba ubingwa.
Hivi moja bila ni kipigo cha mbwa mwizi?Hongereni Yanga Princess kwa kuwashushia kipigo cha mbwa mwizi hawa Simba Queens kwenye mechi yenu ya marudio!
Hongera sana Kocha wa Yanga Princess Super Woman Edna Lema "Morinyo" kwa kumzidi mbinu kocha wa kiume wa Simba Queens! (Hata jina lake kwanza silijui [emoji3525])
Yaani mwanaume unawezaje tu kirahisi kuwa kocha wa timu ya wanawake! Huku timu za wanaume wenzako zikiwa zimejaa tele! Ifikie wakati hata Bakary Shime naye aache mambo yake ya kujificha kwenye kichaka cha timu za wanawake! Mambo ya wanawake, waachiwe wanawake wenyewe.