Simba Queens yatwaa ubingwa mara 3 mfululizo

Mwenye sura ya kike ni mmoja tu hapo.

Huyo mwenye dread.
 
Hongereni Yanga Princess kwa kuwashushia kipigo cha mbwa mwizi hawa Simba Queens kwenye mechi yenu ya marudio!

Hongera sana Kocha wa Yanga Princess Super Woman Edna Lema "Morinyo" kwa kumzidi mbinu kocha wa kiume wa Simba Queens! (Hata jina lake kwanza silijui ☹️)

Yaani mwanaume unawezaje tu kirahisi kuwa kocha wa timu ya wanawake! Huku timu za wanaume wenzako zikiwa zimejaa tele! Ifikie wakati hata Bakary Shime naye aache mambo yake ya kujificha kwenye kichaka cha timu za wanawake! Mambo ya wanawake, waachiwe wanawake wenyewe.
 
Hivi moja bila ni kipigo cha mbwa mwizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…