Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Nasema SSC inapwaya sana na sijui inaenda kucheza vipi michuano ya KIMATAIFA hivi punde.
Mechi kama hizi ndiyo mechi za kuondoka na ushindi maana huko mbeleni ligi inakuwaga ngumu. Kuna timu kama Azam , Singida Big Stars, Wazee wa Kaitaba, Yanga, hawa kuwafunga inakuaga ni ishu kweli kweli.
Kitu pekee ninachoona ni wachezaji wa Simba hawana descipline na hari ya mpira...... zile dakika 80 hadi 90 ndiyo walipaswa kucheza vile kuanzia dakika za mwanzo hadi mwisho.
Yanga UTOPOLO ndiyo wana hiyo spirit , kuanzia dakika ya kwanza hadi tisini wanacheza mpira as if mpira unakaribia kwisha..... na watakufungaa mwisho wa siku. Hii spirit ya wachezji wa Yanga inawasaidia sana. Kama na nyie mmenotice hilo.
Simba akianza kufunga tu huwa wana relax ndio maana ni rahisi mno kuifunga simba siku hizi. Beki za SSC ni majangaz. Zinamsindikiza mfungaji hadi golini kisha zinalaumiana, ni mambo ya ajabu.
Simba ni kama pazia chafu lina vumbi. Yaani nyuma kuna uzembe mwingi na mbele kuna uzembe mwingi .
Mwaka huu Barba lazima akimbie kile kiti. Maana zimwi limeanza kurudi upya na halitowaacha. Nasema halitowaacha mpaka watambue kuwa mpira sio matangazo ya social media, mpira ni Investment na kuweka watu sahihi na kuacha ubahili.
Usajili unafanywa na Barba na Mo huku wanakula shisha matokeo ndio hayo, na hasara mnazopata ni kubwa maana hata makocha wanasajili wakiwa na lishisha.
Cheap is always expensive.
Naliona kombe likienda Singida Big Stars au Azam. Yanga yenyewe itacheza robo fainali.... Simba October ndio Safari yake ya Champion league inaishia hapo kwenye first round preliminary stage . Hakuna timu mule, wakazane na matangazo ya jezi za vunja bei.
Shida ya Simba ipo kwenye u- much know wa Mo na Barba na ubahili wa kihindi.
1. Kwa dream za SSC, Chama alikuwa ni mchezaji wa kuachwa kiheshima, hana maajabu tena anatembelea nyota za kipindi kile and he is old and slow ... soka la sasa ni kasi kasi.
2. Kibu ni hakuna kitu, hawezi kuwa ni sehemu ya kuisaidia SSC na ndoto za ubingwa wa Africa, unless kama mnaota... kibu ana hekaheka nyingi but hana accuracy na focus.
3. Outara, sijui huyu alisajiliwa kwa lipi, na atawa-cost , ni suala la muda
4. Hawa kina Okra , Bocco, Mzamiru na hawa vijana wengine , ndio mnataka kwenda kuchukua kombe na hawa watu ? Rudini tena chimbo mmefeli na hamchukui kombe..... nyie wekezeni kwenye matangazo...
mkija uwanjani ni mnakula viboko, na mwaka huu mtakula stress mpaka mumjue mchawi wenu.
Kiufupi usajili mzima wa SSC ni wa hovyo uliofanywa na Mo Na Barba wakiwa wanakula shisha... wachezaji wa maana kama kina manzoki, Aziz Ki , Adebayor mliwashindwa ... mmebaki na Chama Chama . Yaani nyie badala kusajili damu changa ambazo tayari zimecheza CAF na zina uwezo kama vijana kina Adebayor, Azizi Ki, na wengine ....mnakimbizana na wazee wanaokula pension yao.
Ifike mahala sasa hatutaki kusikia Simba wala Yanga , tusikie Azam , Singida Big Stars na timu nyinginezo.
Simba leo hii inashangilia Sare na KMC .... muda unakimbia sana.