Simba Riziki Patupatu

Simba Riziki Patupatu

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Nasema SSC inapwaya sana na sijui inaenda kucheza vipi michuano ya KIMATAIFA hivi punde.

Mechi kama hizi ndiyo mechi za kuondoka na ushindi maana huko mbeleni ligi inakuwaga ngumu. Kuna timu kama Azam , Singida Big Stars, Wazee wa Kaitaba, Yanga, hawa kuwafunga inakuaga ni ishu kweli kweli.

Kitu pekee ninachoona ni wachezaji wa Simba hawana descipline na hari ya mpira...... zile dakika 80 hadi 90 ndiyo walipaswa kucheza vile kuanzia dakika za mwanzo hadi mwisho.

Yanga UTOPOLO ndiyo wana hiyo spirit , kuanzia dakika ya kwanza hadi tisini wanacheza mpira as if mpira unakaribia kwisha..... na watakufungaa mwisho wa siku. Hii spirit ya wachezji wa Yanga inawasaidia sana. Kama na nyie mmenotice hilo.

Simba akianza kufunga tu huwa wana relax ndio maana ni rahisi mno kuifunga simba siku hizi. Beki za SSC ni majangaz. Zinamsindikiza mfungaji hadi golini kisha zinalaumiana, ni mambo ya ajabu.

Simba ni kama pazia chafu lina vumbi. Yaani nyuma kuna uzembe mwingi na mbele kuna uzembe mwingi .

Mwaka huu Barba lazima akimbie kile kiti. Maana zimwi limeanza kurudi upya na halitowaacha. Nasema halitowaacha mpaka watambue kuwa mpira sio matangazo ya social media, mpira ni Investment na kuweka watu sahihi na kuacha ubahili.

Usajili unafanywa na Barba na Mo huku wanakula shisha matokeo ndio hayo, na hasara mnazopata ni kubwa maana hata makocha wanasajili wakiwa na lishisha.

Cheap is always expensive.

Naliona kombe likienda Singida Big Stars au Azam. Yanga yenyewe itacheza robo fainali.... Simba October ndio Safari yake ya Champion league inaishia hapo kwenye first round preliminary stage . Hakuna timu mule, wakazane na matangazo ya jezi za vunja bei.

Shida ya Simba ipo kwenye u- much know wa Mo na Barba na ubahili wa kihindi.

1. Kwa dream za SSC, Chama alikuwa ni mchezaji wa kuachwa kiheshima, hana maajabu tena anatembelea nyota za kipindi kile and he is old and slow ... soka la sasa ni kasi kasi.

2. Kibu ni hakuna kitu, hawezi kuwa ni sehemu ya kuisaidia SSC na ndoto za ubingwa wa Africa, unless kama mnaota... kibu ana hekaheka nyingi but hana accuracy na focus.

3. Outara, sijui huyu alisajiliwa kwa lipi, na atawa-cost , ni suala la muda

4. Hawa kina Okra , Bocco, Mzamiru na hawa vijana wengine , ndio mnataka kwenda kuchukua kombe na hawa watu ? Rudini tena chimbo mmefeli na hamchukui kombe..... nyie wekezeni kwenye matangazo...

mkija uwanjani ni mnakula viboko, na mwaka huu mtakula stress mpaka mumjue mchawi wenu.

Kiufupi usajili mzima wa SSC ni wa hovyo uliofanywa na Mo Na Barba wakiwa wanakula shisha... wachezaji wa maana kama kina manzoki, Aziz Ki , Adebayor mliwashindwa ... mmebaki na Chama Chama . Yaani nyie badala kusajili damu changa ambazo tayari zimecheza CAF na zina uwezo kama vijana kina Adebayor, Azizi Ki, na wengine ....mnakimbizana na wazee wanaokula pension yao.

Ifike mahala sasa hatutaki kusikia Simba wala Yanga , tusikie Azam , Singida Big Stars na timu nyinginezo.
Simba leo hii inashangilia Sare na KMC .... muda unakimbia sana.
 
Piga ua mpira wa Tanzania utabaki kutawaliwa na Simba na Yanga hao wengine wanaweza kuibuka mara moja moja lakini hawawezi kuzizima Simba na Yanga. Kuna Mseto ya Morogoro ilishawahi kuwa bingwa,Pamba,Mtibwa,Tukuyu Stars,African Sports, Coastal Union, hao wanakuja kama moto wa kifuu tu.
 
Hii timu inakufa vibaya Sana watu wanashangilia sale na watoza ushuru wa KMC?

Huu mwaka mtagawana mbao.
 
Acha vyuma viumane[emoji3][emoji3]
 
Ulichoandika inawezekana ikawa kweli ila mechi ya imeamuliwa na Patrick mwenda anapiga back pass nyingi sana madhara yake ndo haya hata mechi ile ya yanga alifanya makosa hayo hayo ni bahati tu hakuadhibiwa ila Patrick mwenda ni mzigo kapombe is the best right back in east Africa kwa sasa dogo kazingua sana
 
Piga ua mpira wa Tanzania utabaki kutawaliwa na Simba na Yanga hao wengine wanaweza kuibuka mara moja moja lakini hawawezi kuzizima Simba na Yanga. Kuna Mseto ya Morogoro ilishawahi kuwa bingwa,Pamba,Mtibwa,Tukuyu Stars,African Sports, Coastal Union, hao wanakuja kama moto wa kifuu tu.

Mjomba AMKA. Kipindi cha zamani kulikuwa Na nyimbo kama za kina Baraka mwinshehe, marijani? Na walikuwa wanaimba kweli kweli nyimbo hadi leo zikipigwa una enjoy . Lakini walikufa maskini...... wakati ulivyobadilika hujagundua kuwa mziki ni ni ajira kubwa kuliko hata elimu ya chuo . Leo hii kina Diamond , hamonize with form 4 failures .... wanamiliki mali ambazo wewe na familia yako na ukoo wako kuja kuzipa ni kwenye ndoto. Mjomba nataka kukuonesha maana ya wakati na heshimu sana wakati.

Mpira wa zamani haukuwa na maslahi.... watu kama kina Christopher Alex Masawe Shimbonyi amekufa hata sanduku la kumzika hana, lakini ndiyo alikuwa mchezaji mkubwa wa SSC .

kwa sasa mpira ni ajira na vijana wanaona hilo. Ikiwa Aziz Ki anakula milioni 32 Monthly .... taja mtumishi anaelipwa hizo fedha .....
Heshimu sana wakati mjomba. Wakati unaozungumzia wewe ni Wakati ambao kucheza mpira ni uhuni na umeshindwa shule .... kwa sasa ni tofauti. Investment chini za ground zinafanyika kuinua hizi timu kma Singinda Big Stars, Azam nakuendelea.

Hapo ndio utajua maana ya wakati. Tofauti kubwa ya hizi Simba na Yanga na timu nyingine ni Investment, Na hiyo ndiyo kinachofanywa now. Hakika zitabaki majina tu
 
Huyu mwenda ni takataka . Halafu simba inaota kucheza final CAF na watu kama hawa. Labda CAF ya Mo na Barba
 
Mtu kama
Mohammed Hussein , ameshachoka ni kutoa kwa mkopo .... but kila siku ni huyo huyo anafanya nn. Watu kama hawa ndio waachwe kwa heshima kina chama wote , Bocco , mzamiru ni kuondoa
 
Umeongea ukweli kiasi na kuna kiasi umeongea kwasababu tu ya mihemko ya mechi, na hali hiyo huwa inatukuta wengi.

Chama bado ni mchezaji mzuri ambaye anaweza kuipa faida Simba endapo atacheza mpira jihadi na sio show off

Alichokifanya leo Chama ndio kile alichokuwa akikifanya Sakho kipindi fulani na humu tulisema ila at least namuona kapunguza.

Alichokifanya Isarh leo kimekuwa kikifanywa na Enonga mara kadhaa ila bahati tu inatokea hakuna goli tunalofungwa.

Hayo yote ni uzembe wa mchezaji mmoja mmoja kwa ajili ya sifa kutaka kuonekana.

Ila tukiachana na hilo hatuwezi kuendelea kulaumu Simba bila kutoa credit kwa KMC.

They were better today

Huu msimu ni tofauti sana na misimu mingine yote ambayo imepita, saizi unaweza ukafungwa na timu yeyote katika kiwanja chochote bila kuzingatia ukubwa wa Club yako au jina la mchezaji fulani tegemezi uliyenaye kwenye kikosi.

Ukija kwenye level za kimataifa huko ndio kuna balaha, yani kusema Yanga itafika robo hizo ni probability ngumu sana yani hesabu zinagoma ku finalize kuwa Yanga atafika robo kimataifa wakati hakuna mechi recently ya kimataifa ambayo amecheza na akashinda.

Huko ndio kuna ugumu sana na mwaka huu wao focus yao ni kufika at least group stages, hiyo Robo ni ziada tu kama ikitokea kama ilivyomtokea kishingo akiwa Simba.
 
Hawezi kuacha show off na huo ndio uchezaji wake. Mpira wa Sasa ni kazi kazi
 
Mjomba AMKA. Kipindi cha zamani kulikuwa Na nyimbo kama za kina Baraka mwinshehe, marijani? Na walikuwa wanaimba kweli kweli nyimbo hadi leo zikipigwa una enjoy . Lakini walikufa maskini...... wakati ulivyobadilika hujagundua kuwa mziki ni ni ajira kubwa kuliko hata elimu ya chuo . Leo hii kina Diamond , hamonize with form 4 failures .... wanamiliki mali ambazo wewe na familia yako na ukoo wako kuja kuzipa ni kwenye ndoto. Mjomba nataka kukuonesha maana ya wakati na heshimu sana wakati.

Mpira wa zamani haukuwa na maslahi.... watu kama kina Christopher Alex Masawe Shimbonyi amekufa hata sanduku la kumzika hana, lakini ndiyo alikuwa mchezaji mkubwa wa SSC .

kwa sasa mpira ni ajira na vijana wanaona hilo. Ikiwa Aziz Ki anakula milioni 32 Monthly .... taja mtumishi anaelipwa hizo fedha .....
Heshimu sana wakati mjomba. Wakati unaozungumzia wewe ni Wakati ambao kucheza mpira ni uhuni na umeshindwa shule .... kwa sasa ni tofauti. Investment chini za ground zinafanyika kuinua hizi timu kma Singinda Big Stars, Azam nakuendelea.

Hapo ndio utajua maana ya wakati. Tofauti kubwa ya hizi Simba na Yanga na timu nyingine ni Investment, Na hiyo ndiyo kinachofanywa now. Hakika zitabaki majina tu
Umeegemea upande mmoja zaidi unaisema Simba kana kwamba hakuna timu mbovu NBC kama simba kumbuka hata hao KMC unaowasifia leo wana mechi 4 hawajashinda hata moja.
 
Si wana Investment kubwa.
Riziki yangu papatu papatu......
IMG_8306.jpg

Mpaka tujue kujua shida I think tutaanza kuwa makini kwenye scouting za makocha na wachezaji na Kufanya Investment like serious.

Otherwise ni papatu papatu
 
Huyu kocha ndiyo abaki kuwa kocha msaidizi akija kocha MKUU .

Matola Sasa ni wakati wake kumpumzika na kutoka kwenye benchi.

Ni wazi kuwa matola na yeye ni sehemu ya TATIZO. Haiwezekani makocha wote wawe ni sehemu ya tatizo Halaf matola asiwe ni sehemu ya tatizo ; huyu muha anasiri gani ?

Ndio maana tunasema Kama simba haitofanya maamuzi magumu na kuondoa hii takataka na kuleta akili mpya ... ni wazi wana safari ndefu . Kazi ya matola haipo , tuache kuaminisha fun’s eti kuna viwanja ni lazima matola ashauri.... ni hoja muflisi na kukosa maarifa. Mpira wa Sasa hauhitaji hiyo kitu .... ni kuendelea kuishi kwa fikra za zamani

Kwani matola alizaliwa na SSC , kwanini hatoki huku wengine wanatolewa.... Eti ana historia na kuijua Simba ..... Sasa leo au Kesho anakufa .... mtaendelea kusema hiyo kauli tena ..... haya ni mawazo finyu na mgando . Wekeni replacement ya matola, na huyo kocha Mkuu wa muda ndjo aje kuwa kocha msaidizi

Mimi naona hata Barba hatoshi..... hakupaswa kuwa mtendaji, alipswa kuwa msemaji wa Klabu Ni Mzuri kwenye U PRO

. Tangu ashike timu , imekuwa ni majanga kwenye utawala wake , Na Maneno Maneno mengi yasiyokuwa na matokeo chanya.
 
Naona kimenuka tayari! Mashabiki wa simba, kulikoni! Leo baridi, kesho vuguvugu, keshokutwa moto! Leo mnamtaka Matola, kesho hamumtaki tena!!!
 
Back
Top Bottom