Tetesi: Simba S.C haina mpango wa kuongeza mchezaji yeyote

Tetesi: Simba S.C haina mpango wa kuongeza mchezaji yeyote

Hizi ni habari zinazotwngenezwa na lile group la wacheza uchi fc makao makuu
 
Taarifa za ndani kabisaa zinasema klabu ya Simba imesitisha mpango wa kuongeza wachezaji dilisha hili la usajili, Sababu zilizotolewa ni pamoja na kukosekana kwa wachezaji wazuri sokoni kipindi hiki cha katikati ya msimu.

Pia sababu zingine ni ugumu uliopo kwenye kuvunja mikataba ya wachezaji wa kigeni kwani idadi ya wachezaji 12 tayari imetimia kwaio ili timu iweze sajili mchezaji wa kigeni ni lazima iwavunjie mikataba hawa waliopo jambo ambalo uongozi umeona uachane nalo kwa sasa.

Simba nguvu moja[emoji881][emoji881]
Uzuri ni kuwa watu wa Utopoloni huwa mna taarifa kibao za Unyamani.
Vipi Mo hajapata mteja wa kumuuzia hisa zake?
 
Back
Top Bottom