SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Na kuna mazwazwa kama wewe nyani wa pori la UtopoloNachoipendea Jf imekusanya kila aina ya watu, Kuna vipanga, mataahira na mapooza.
Na sio kazi ngumu kuwatambua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kuna mazwazwa kama wewe nyani wa pori la UtopoloNachoipendea Jf imekusanya kila aina ya watu, Kuna vipanga, mataahira na mapooza.
Na sio kazi ngumu kuwatambua
Iyo point ya simba inatoka mdau ifatePamoja na timu ya Simba kufanikiwa kuingia hatua ya makundi CAFCL, kuongoza msimamo wa NBC Premier League, lakini nimeshangaa tovuti zote za kubeti zimewaweka Simba kwenye nafasi ya kufungwa mechi ya kesho dhidi ya Yanga.
Je hii ina maana gani?
Kuwa Simba ni underdog kwa Yanga?View attachment 2394587View attachment 2394589View attachment 2394590
Mdhamini mkuu wa simba anajua ukweli hivyo anataka ale pesa za wapumbavuDaaaaaah kwamba hadi mdhamini mkuu wa team hana Imani na team yake, ameamua kuwaua mazima[emoji3][emoji3]
Nimeeleza wasifu wako tu na si zaidi ya hapoMbona unajistukia ivo mkuu na kuanza kunishambulia personal wakati sijakulenga wala kukutaja wewe???
nadhani umeelewa kuwa mjinga ndiwe uliwao. Pole kwa kuliwa hela yakoDaaaaaah kwamba hadi mdhamini mkuu wa team hana Imani na team yake, ameamua kuwaua mazima[emoji3][emoji3]
Wewe umeshida?nadhani umeelewa kuwa mjinga ndiwe uliwao. Pole kwa kuliwa hela yako
Mimi sikuleta hii mada, aulizwe mleta mada, ambaye hakuwa underdog ameshinda? Kubet sio kitu rahisi rahisi, utapukutisha ada ya watoto. Mimi kuna namna ninayoitumia kubet, ambayo kwa wiki sikosi faida ya sh. 150,000/= baada ya kuondoa matumizi yoteWewe umeshida?