Nadhani paka hapa ligi ya Nbc ilipofikia ni wazi itakuwa ngumu sana kumkamata mtani wetu Yanga kwani hakamatiki Wala hazuiliki. Tuipokee nafasi ya pili Kwa mikono miwili[emoji2969][emoji2969]
Nguvu zetu zote tuzihamishie michuano ya vilabu barani Afrika ili tuchukue kombe la klabu bingwa Afrika (Cafcl) na Pia tuchukue hili kombe jipya la Caf Super League (Cafsl) kwani nguvu, uwezo na sababu ya kuchukua hayo makombe tunayo
Simba[emoji881] Nguvu moja