Simba S.C tuhamishie Nguvu Caf ili Tuchukue Kombe la Caf Champions League na Caf Super League

Simba S.C tuhamishie Nguvu Caf ili Tuchukue Kombe la Caf Champions League na Caf Super League

babu onyango

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2023
Posts
378
Reaction score
984
Nadhani paka hapa ligi ya Nbc ilipofikia ni wazi itakuwa ngumu sana kumkamata mtani wetu Yanga kwani hakamatiki Wala hazuiliki. Tuipokee nafasi ya pili Kwa mikono miwili[emoji2969][emoji2969]

Nguvu zetu zote tuzihamishie michuano ya vilabu barani Afrika ili tuchukue kombe la klabu bingwa Afrika (Cafcl) na Pia tuchukue hili kombe jipya la Caf Super League (Cafsl) kwani nguvu, uwezo na sababu ya kuchukua hayo makombe tunayo

Simba[emoji881] Nguvu moja
 
Labda mbebe kombe la uji[emoji3][emoji3]
20210609041537440.jpg
 
Simba msimu huu lazima tuchukue ubingwa wa ligi kuu. Mbona pointi 6 siyo nyingi! Mtani akipoteza mechi 2, sisi tunakuwa mabingwa! 😩
 
Hasira zetu tunamalizia kafu. Tunabeba makombe yote ya Afrika. Nguvu moja
 
Poleni makolo. Vile vitoto mlivituma vimzuie yanga ndo maana vikatumia nguvu nyingi sana. Lkn si mna kombe lenu la Feisali na sport pesa?
 
Back
Top Bottom